mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Jinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna bali ni sheria zetu kandamizi za Kodi.
Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi.
Kwa nini tusijifunze kwa wenzetu China ? Mlishaona wageni China wanakaguliwa risiti?
Mlishasikia China wanafukuza au kubadilisha watendaji wake wa Mamlaka ya Kikodi? Kwanini? Wao wana tofauti gani na sisi? Au wana korodani 10 sisi tunazo 2?
Tumeshindwa kabisa kufikiria kwa akili zetu pamoja na kua na wasomi wa kodi?
SHAME ON US .....
PIA SOMA
- Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara