Kariakoo pamng'oa Kidata TRA

Kariakoo pamng'oa Kidata TRA

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Jinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna bali ni sheria zetu kandamizi za Kodi.

Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi.

Kwa nini tusijifunze kwa wenzetu China ? Mlishaona wageni China wanakaguliwa risiti?

Mlishasikia China wanafukuza au kubadilisha watendaji wake wa Mamlaka ya Kikodi? Kwanini? Wao wana tofauti gani na sisi? Au wana korodani 10 sisi tunazo 2?

Tumeshindwa kabisa kufikiria kwa akili zetu pamoja na kua na wasomi wa kodi?

SHAME ON US .....

PIA SOMA
- Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara
 
labda nikuulize swali: Yanayofanywa China yakiletwa hapa utakubaliana nayo au ndio kulalamika bila kujua unacholalamika?
 
Jinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna bali ni sheria zetu kandamizi za Kodi.

Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi.

Kwa nini tusijifunze kwa wenzetu China ? Mlishaona wageni China wanakaguliwa risiti?

Mlishasikia China wanafukuza au kubadilisha watendaji wake wa Mamlaka ya Kikodi? Kwanini? Wao wana tofauti gani na sisi? Au wana korodani 10 sisi tunazo 2?

Tumeshindwa kabisa kufikiria kwa akili zetu pamoja na kua na wasomi wa kodi?

SHAME ON US .....

PIA SOMA
- Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara
TRA wanajidai wanatekeleza sgeria. Sasa watajua kuwa sheria si msahafu.
Mabalozi nao walilalamika sana juu ya wawekezaji toka nchi zao.
 
Jinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna li ni sheria zetu kandamizi za Kodi.

Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi.

Kwa nini tusijifunze kwa wenzetu China ? Mlishaona wageni China wanakaguliwa risiti?

Mlishasikia China wanafukuza au kubadilisha watendaji wake wa Mamlaka ya Kikodi? Kwanini? Wao wana tofauti gani na sisi? Au wana korodani 10 sisi tunazo 2?

Tumeshindwa kabisa kufikiria kwa akili zetu pamoja na kua na wasomi wa kodi?

SHAME ON US .....

PIA SOMA
- Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara
Hata hapo uganda chukuwa risiti au isichukue hawakaguwi wao wanakaguwa pale mzigo unaingia dukani au store tu
 
Na Ashantu Kijaji.Waziri mzembe huyu sijapata ona.
 
Kamishina wa Tra hatungi sheria bali anazitekeleza sheria.
 
Mnapowaibia na kuwabana kwa njaa zenu mpaka matajiri wa nje wanaowafadhili, ndio matokeo yake haya

Najua sio njaa tu bali wana uroho wa fisi wa kula mpaka mifupa
Muwe na aibu basi
 
TRA wanajidai wanatekeleza sgeria. Sasa watajua kuwa sheria si msahafu.
Mabalozi nao walilalamika sana juu ya wawekezaji toka nchi zao.
Sheria bila hekima na customer service ni bure,wanatanguliza rushwa iliyofichwa kwenye sheria na mfumo mbaya. Bado maadili ni tatizo siyo sheria kama inavyotajwa.
 
Jinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna bali ni sheria zetu kandamizi za Kodi.

Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi.

Kwa nini tusijifunze kwa wenzetu China ? Mlishaona wageni China wanakaguliwa risiti?

Mlishasikia China wanafukuza au kubadilisha watendaji wake wa Mamlaka ya Kikodi? Kwanini? Wao wana tofauti gani na sisi? Au wana korodani 10 sisi tunazo 2?

Tumeshindwa kabisa kufikiria kwa akili zetu pamoja na kua na wasomi wa kodi?

SHAME ON US .....

PIA SOMA
- Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara
Canada pia Wana mfumo mzuri wa kodi wananchi wanafurahia kulipa Kodi kwasababu mfumo unarudisha pia kwa mtu mmojammoja
 
Jinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna bali ni sheria zetu kandamizi za Kodi.

Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro haitakaa iishe bila kuleta na kukubali mabadiliko ya sheria zetu za kodi.

Kwa nini tusijifunze kwa wenzetu China ? Mlishaona wageni China wanakaguliwa risiti?

Mlishasikia China wanafukuza au kubadilisha watendaji wake wa Mamlaka ya Kikodi? Kwanini? Wao wana tofauti gani na sisi? Au wana korodani 10 sisi tunazo 2?

Tumeshindwa kabisa kufikiria kwa akili zetu pamoja na kua na wasomi wa kodi?

SHAME ON US .....

PIA SOMA
- Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara
Nilitegemea Waziri wa viwanda na RC wangeondolewa, tuna system ya ajabu sn
 
Back
Top Bottom