Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Bara ni tawi la ZanzibarZanzibar inazidi ku shine.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bara ni tawi la ZanzibarZanzibar inazidi ku shine.......
Shida ya Tanzania wizi unaanzia juu kushuka chiniSheria bila hekima na customer service ni bure,wanatanguliza rushwa iliyofichwa kwenye sheria na mfumo mbaya. Bado maadili ni tatizo siyo sheria kama inavyotajwa.
Hakuna ofisi au taasisi isiyokula rushwa hivi sasa. Kuanzia mawaziri, idara na mashirika ya umma. Na sababu ya rushwa kukithiri ni udhaifu wa rais mwenyewe ktk kusimamia nidhamu ktk serikali yake.Rushwa imezidi TRA kwa kisingizio cha sheria. Kukosa risiti ya EFD fine ya 15 million, hakuna mjinga asiyejua huo ni mtaji wa rushwa.
Kwa Magufuli alishine sana na kuonesha uwezo mkubwa kiutendaji.Hivi kwanini Jafo anapewa mizigo baada ya Watu wengine kufeli..
Yani yeye ni spare tyre!!?