Kariakoo pamng'oa Kidata TRA

Kariakoo pamng'oa Kidata TRA

Sheria bila hekima na customer service ni bure,wanatanguliza rushwa iliyofichwa kwenye sheria na mfumo mbaya. Bado maadili ni tatizo siyo sheria kama inavyotajwa.
Shida ya Tanzania wizi unaanzia juu kushuka chini
 
Kariakoo yalikuwa ni maigizo tu. Walipanga kumwondoa pale kwa sababu zao wenyewe.
 
Hivi kwanini Jafo anapewa mizigo baada ya Watu wengine kufeli..
Yani yeye ni spare tyre!!?
 
Rushwa imezidi TRA kwa kisingizio cha sheria. Kukosa risiti ya EFD fine ya 15 million, hakuna mjinga asiyejua huo ni mtaji wa rushwa.
Hakuna ofisi au taasisi isiyokula rushwa hivi sasa. Kuanzia mawaziri, idara na mashirika ya umma. Na sababu ya rushwa kukithiri ni udhaifu wa rais mwenyewe ktk kusimamia nidhamu ktk serikali yake.

Kama kweli Samia ana uchungu na rushwa aanze kushughulika na baraza lake la mawaziri halafu ashuke mpk kwa mwanaye Abdul.
 
Hivi kwanini Jafo anapewa mizigo baada ya Watu wengine kufeli..
Yani yeye ni spare tyre!!?
Kwa Magufuli alishine sana na kuonesha uwezo mkubwa kiutendaji.

Ilipokuja serikali ya huyu mama wakamfubaza kwa kuanza na kumpa last warning vinginevyo wangelimzingua!

Tena hadharani kwenye media, akaona ya kazi gani, akarudi nyuma.

Kumbe mikwara yote aliyopigwa ililenga maslahi binafsi huku kimoyomoyo wakitambua utendaji wake usiotia shaka!

Hii ndiyo Tz yetu.
 
Back
Top Bottom