Kariakoo the busiest business Centre in East Africa

Kariakoo the busiest business Centre in East Africa

NDINDA.....buda githurai is high density residential estate meant for the low middle class.....ofcourse in such an estate there is petty crime,even new york which is the world financial centre has lots of crime in places like harlem,queens and brooklyns,so those crimes news are irrelevant,by the way few isolated pics of githu which are not pitureseque cannot dispute the fact githu is a decent estate and a concrete jungle like kariakoo.
We hiyo Githurai ina u busy gani??!!!!
Mbona watu wachache kabbisa na mnapishana vzuri!???
Then Githurai chafuuu mitope kibweenaaa then Githurai ni ndogo kariakoo kubwa man.
 
Kama CBD imekua kariakoo basi posta na upanga nini .

Maana hata tukiwa dar hata daladala zinatofautiana Maeneo Kwa sababu ya umbali uliopo.


Hiv ulishafika dar?
Inasemekana kuwa zaidi ya asilimia 30 ya mapato ya TRA yanatokana na kodi za biashara za kariakoo. Naomba wenzangu mthibitishe hili maana mimi niliambiwa hivyo na Mfanyabiashara mkubwa wa kariakoo.
 
GDP ni kando na ukusanyaji wa kodi, GDP ni hesabu za ukijumlisha mapato ya viwanda, kampuni na biashara ambazo ziko official ...... Sasa mtu akisema kwamba eneo flani hapo dar ndo busiest in EA wakati Dar yote haifikii Nairobi kwa mapato ya Biashara, hio itakuaje???

Na hata kama utasema kwamba biashara nyingi si official kwahivyo mapato yake hayajulikani na serekali... sasa itakuaje mnajua kwamba hilo eneo ndo bussiest in EA wakati hata nyiyi wenyewe hamjna takwimu yoyote za kudhihirisha????

Manake kutembelea eneo na kuliangalia tu hakutadhihirisha chochote, unaeza enda mahali ukaona watu 1,000 wananunua na kuuziana bidhaa, mwisho wa siku ukijumlisha faida ya hao wanabiashara wote ukakuta wametengeneza $50,000 ukafikiria eneo hiloliko na pesa, kumbe kuna wakili mmoja eneo lengine ameketi kwa ofisi anapiga dili moja ya $5million ... Itabidi hao wanabiashara wafanye kazi kwa siku 100 ndo watengeneze hio $5 million.
hoja hapa ni umashuhuli wa soko la kariakoo.

kuhusu thamani ya kile kinachofanyika ni hoja nyingine.ambayo kimsingi wala haihusiana na nini kinachofanyika eneo husika.

nairobi ina makampuni mengi makubwa yanazalisha hapo nairobi na nje ya nairobi,lakini kariakoo ni soko la bidhaa tu.

uchumi wa kenya uko juu ya tz kitu inayosababisha hata gharama za maisha kwa wakazi wa nairobi kuwa juu kwa kila kitu mpaka revenue kwa serikali lazima mtadaiwa kubwa.
 
Tatizo Watanzania mna hulka ya kukusanyika kwenye kitu kimoja, hamjui jinsi gani ya kufanya diversification kama sisi. Hapa Kenya tuna business centres nyingi ambazo kuna uhuru wa kuchagua. Nyie hiyo Kariokoo barabara moja tu ile ya Uhuru basi, pachafu na pamejaa ujanja ujanja tu halafu mnakusanyika nyote humo.

Ona vitu vya Kenya.... vitu largest in East and Central Africa

23-two-rivers-mall-nairobi-kenya-akinyi-adongo.jpg


0fgjhs50pbr1813m.jpg



0fgjhs33r7v9g66hm.jpg





0fgjhs4260bn2fnbk.jpg




0fgjhs759jf3qerkm.jpg



0fgjhs2la2l8gki3ag.jpg



0fgjhs1ik2fuq48vko.jpg



0fgjhs3b0jcikm0s0g.jpg



Kenya useless people
 
We bwege nn asa hizo picha na hayo majengo kwa akili zako yatazidiwa na huu uchafu ulio commnt apa chini? yani vyumba? kariakoo kuna vyumba ndo vya biashara? au huelewi unacho andika? hayo maghorofa ndio yaliyopo kariakoo asa nenda na drone bas ukaupige ivyo vyumba...
Kariakoo kuna vyumba zingine za mabati na watu wengi sana wanauza kwa barabara hakupitiki na pia kuchafu sana sana.Sasa mnaleta picha tu za mijigorofa mnaacha kule kubaya na kuchafu zaidi ili kuhadaa waKenya .
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Waambie watupee barabara Kama hii ya Kisumu huko dar tuhame hii forum[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]View attachment 1184827View attachment 1184828
Ona uyu Matraaaako...analeta barabara tena wakat c tunaongelea Center of Business...ivi nyie 254 nn shida mwingine nae kaleta Mall...asa kwan Tz hamna Mall mbona zipo kibao na zingine zinazidi zinajengwam..!!!!..[emoji23] uzi hauzungumzii Malls wala Barabara kama hamna cha kucomments u better shun ur Dishes..
 
Apo namba mbili..ukinyooka na Mtaa wa Narung'ombe kuna HONG KONG HOTEL Bonge moja la mjengo
View attachment 1184843


1. Mwanzo kabisa kule panaitwa Gerezani hapo kuna karakana zinatengeneza vitu achaaaa, Kuanzia dude la kupikia vitumbua hadi PIMP my ride! Hapo hapo karibu Building and construction materials.

2. Ukivuka Uhuru street pia kuna construction materials kiasi, ikafuata nguo na Viatu hasa mtaa wa Congo na Mtaa wa Narung’ombe (hapa huna hata pa kukanyaga ( Wanapaita China Town sasa) Hapa ndio soko la viatu, Ndio penyewe.

3.Jengo lenyewe la kariakoo kama kawa, una pata kila kitu hadi plau pezi [emoji23]. Pesticides etc

4 . Shuka chini kidogo mtaa wa mafia unakutana na Pikipiki, Na spare parts.

5 Chini kidogo unapata pia Kila spare parts ya gari yoyote hadi wana Toyota Tanzania ( Genuine Parts)

6. Hapo tunazungumzia Upande wa Kushoto wa Msimbazi street. Kulia kuna maeneo ya Agrey, pale unapata simu yoyote unayoijua wewe na pia unatengenezewa simu yako hata kama imeharibika vipi, ukishika chini upande huo huo wa kulia kuna soko la vitambaa. Hatari.

View attachment 1184841



Hapo kariakoo usiku ndio utajua Kariakoo sio ya mchezo, kila mtaa unazibwa containers zinashusha mizigo.

Zimbwabean, Zambian, Namibian, Botswana , Congo , Shelisheli, Comoro wanadaka mzigo hapo.

Ukitaka kujua nani anakuja sana kuchukua mizigo Hapo kariakoo, Tembelea Hotel zote za karikaoo.

Hadi sasa kuna vijana kazi yao ni kupack mizigo, wamespecialize Wanajua jinsi ya kupanga bwana. Corona vya wazambia na wazimbabwe lazima vishindiliwe vizuri.

Yaani ni Guangzhou ya bongo Maana Kule hadi wanaigeria wamespecialize Kupack mizigo. [emoji23]

Sijaongelea kule lumumba, Duh, Car accessories , Music mnene wa gari yako , Tairi etc ndio pale . Inapark Modern Coast na Tahmeed.

Kulingana na mizigo inayobebwa hapo, kama hadi godoro mtu kapakia, Labda awe anashukia Tanga, Hata kama anaenda nalo mombasa, Basi litakua bora sana , Au lipo cheap kuliko huko? Au kapewa bure zawadi, yote yanaweza tokea [emoji23]

Kariakoo noma bwana.

Kuna jamaa alipost Malls hapo juu.


Mkuki House, Aura Mall, City mall zote zipo in a walking distance .
Nadhani hakuelewa maana ya mkuu Hapo juu.



View attachment 1184838


View attachment 1184839


View attachment 1184840
 
hoja hapa ni umashuhuli wa soko la kariakoo.

kuhusu thamani ya kile kinachofanyika ni hoja nyingine.ambayo kimsingi wala haihusiana na nini kinachofanyika eneo husika.

nairobi ina makampuni mengi makubwa yanazalisha hapo nairobi na nje ya nairobi,lakini kariakoo ni soko la bidhaa tu.

uchumi wa kenya uko juu ya tz kitu inayosababisha hata gharama za maisha kwa wakazi wa nairobi kuwa juu kwa kila kitu mpaka revenue kwa serikali lazima mtadaiwa kubwa.
Ulisoma majibu ya ndugu yetu akizungumzia kuhusu GDP za nchi hizi mbili??????????
 
Back
Top Bottom