Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Swali LA kijinga road zinajengwa kutokana na maitaji tunazo barabara nyingi tu tatizo nimegundua wakenya masikini sana hivyo video tunazo post mnashingwa kuziangalia kwa sababu ya kukosa Pesa ya internet nilifanya utafiti kupost video za YouTube hapa nione kama view wataongwzeka kutoka kwa wakenya nikagundua view wanaongezeka wachache awazidi 10 hivi ni kwanini wakenya mnashindwa kumudu mb za kuangalia video sasa nakupostia hizi video utizame na wewe ulete video za ukweli zisizo editiwa hii ni ya msiba ulitokea tz icheki kisha na nyinyi mlete video yenye ulefu kama huo ya tukio la kweli ili tuone jiji la Nairobi na barabara zake.lwiva joto la jiwe jibu hili swali[emoji23][emoji23][emoji23]