Karibia Wagner Mercenaries 250-300 wafa jana

walilipataj hilo jiwe bila kufika eneo la mpaka?
 
Unacomment hadi unataka kulia kwa uchungu,pole ustadhi haya ndiyo madhara ya vita japokuwa akili yako haitaki kupokea uhalisia
 
Jeshi la ukraine jana limefanya shambulio baya sana kwenye mji wa luhansk na kuua wagner mercenaries 250-300
Huku akibakia mmoja tu ambae amechukua video hii huku akilia

video yao kabla hawajakula kichapo kizito
Punguzeni propaganda!
hiyo habari sio ya kweli
 
Kuna watu wako desperate na good news Kwa upande wao,yaani ukiwapa tango pori basi watamiminika Kwa Kasi kuja kujimwambafy!
 
Yaani wa ukraine wawauwe wa rusia 300 alafu washindwe kuonesha maiti hata 1 tuu, duu kuna wtu wajinga duniani
Reasoning capacity yako ndogo sana
Umeangalia hiyo clip? Shambulizi la kombora uone maiti
 
Kuna watu wako desperate na good news Kwa upande wao,yaani ukiwapa tango pori basi watamiminika Kwa Kasi kuja kujimwambafy!
Tulia dawa iwaingie hakuna wagner tena kwenye mji wa luhansk
 
Kuna watu wako desperate na good news Kwa upande wao,yaani ukiwapa tango pori basi watamiminika Kwa Kasi kuja kujimwambafy!
Na kuna watu wako kwenye denial, kila wanaposikia habari ambazo hawapendi kuzisikia.Ukipost tu unawaona hawa hapa wana deny kila kitu
 
Na kuna watu wako kwenye denial, kila wanaposikia habari ambazo hawapendi kuzisikia.Ukipost tu unawaona hawa hapa wana deny kila kitu
Ni vema haujakanusha desperation waliyonayo watu fulani Kwa kukosa good news Kwa muda mwingi wa Operation hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…