Car4Sale Karibu automasi uagize nasi gari lenye ubora kwa gharama nafuu
Hii ni bonge moja la fursa ambayo hautakiwi kukosa!

kwani imekaaje hii?

Njoo nikupereke taratibu,

Moja: Unahitajika kuwa na 60% pekee ya gharama ya gari, mfano kwa Toyota Ist ya shilingi milioni 14, utahitajika kuwa na milioni 8 na laki 4. ambapo sisi tutaagiza gari, kulilipia kodi, na kufanyia usajili (usajili utakuwa kwa majina yako).

Pili: Je, ni kwa wafanyakazi tuu? Jibu ni hapana, ni kwa mtu yoyote mwenye chanzo cha kipato ( yaani mfanyabiashara au mfanyakazi, au mjasiriamali)

Tatu: Ninahitajika kuwa na nini?
Mahitaji
1. Bank statements miezi sita/ miamala ya simu
2. Kama mfanya biashara Nyaraka zako za biashara e.g..leseni ya biashara na TIN
3.kama mfanyakazi mkataba wako wa kazi na salary sleep ya miezi mitatu
4.copy ya kitambulisho chako
5. Copy ya kitambulisho cha mtu wako wa karibu
6.Picha nne za passport size
7.Barua ya utambulisho wa serikali za mitaa( Proof of residence)

Nne: Riba yenu ikoje? riba ni 3.5% ya gharama yote ya mkopo (mfano kwa muda wa miezi sita Toyota Ist ya 14mil, wenye mkopo wa 5.6mil utarejesha JUMLA ya 6.88mil ambayo ni sawa na 1.28mil)

Tano: Marejesho yangu naanza lini? Marejesho utaanza mwezi mmoja baada ya kupokea gari lako.

Sita: itachukuwa muda gari mpaka kupokea gari langu? utafuata utaratibu wa kawaida wa kuagiziwa gari ambao ni siku 35 mpaka siku 45 mpaka kupokea gari lako.

Je, unaswali lolote ungependa kuuliza zaidi?
AUTOMASI COMPANY LIMITED tunasema, KARIBU TUKUHUDUMIE

MILIKI GARI KWA MKOPO NA AUTOMASI COMPANY LIMITED
HIGH QUALITY, RELIABLE & SPEED

Call/Whatsapp : 0685 566 368
78379a0d-7a94-4617-a8ca-14dad768a433.jpg
 
Hii ni bonge moja la fursa ambayo hautakiwi kukosa!

kwani imekaaje hii???

Call/ Whatsapp : 0685 566 368
 
Attachments

  • 78379a0d-7a94-4617-a8ca-14dad768a433.jpg
    78379a0d-7a94-4617-a8ca-14dad768a433.jpg
    98.7 KB · Views: 12
Nataka Toyota Rush ila hiyo nusu sina cash ila nakupeni Carina nomba CUS pia nataka huo mkopo niulipe kwa mwaka mmoja na sio miezi 6 je inawezekana?

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Hii ni bonge moja la fursa ambayo hautakiwi kukosa!

kwani imekaaje hii???

Njoo nikupereke taratibu,

Moja: Unahitajika kuwa na 60% pekee ya gharama ya gari, mfano kwa Toyota Ist ya shilingi milioni 14, utahitajika kuwa na milioni 8 na laki 4. ambapo sisi tutaagiza gari, kulilipia kodi, na kufanyia usajili (usajili utakuwa kwa majina yako).

Pili: Je, ni kwa wafanyakazi tuu? Jibu ni hapana, ni kwa mtu yoyote mwenye chanzo cha kipato ( yaani mfanyabiashara au mfanyakazi, au mjasiriamali)

Tatu: Ninahitajika kuwa na nini?
Mahitaji
1. Bank statements miezi sita/ miamala ya simu
2. Kama mfanya biashara Nyaraka zako za biashara e.g..leseni ya biashara na TIN
3.kama mfanyakazi mkataba wako wa kazi na salary sleep ya miezi mitatu
4.copy ya kitambulisho chako
5. Copy ya kitambulisho cha mtu wako wa karibu
6.Picha nne za passport size
7.Barua ya utambulisho wa serikali za mitaa( Proof of residence)

Nne: Riba yenu ikoje? riba ni 3.5% ya gharama yote ya mkopo (mfano kwa muda wa miezi sita Toyota Ist ya 14mil, wenye mkopo wa 5.6mil utarejesha JUMLA ya 6.88mil ambayo ni sawa na 1.28mil)

Tano: Marejesho yangu naanza lini? Marejesho utaanza mwezi mmoja baada ya kupokea gari lako.

Sita: itachukuwa muda gari mpaka kupokea gari langu? utafuata utaratibu wa kawaida wa kuagiziwa gari ambao ni siku 35 mpaka siku 45 mpaka kupokea gari lako.

Je, unaswali lolote ungependa kuuliza zaidi?
AUTOMASI COMPANY LIMITED tunasema, KARIBU TUKUHUDUMIE

MILIKI GARI KWA MKOPO NA AUTOMASI COMPANY LIMITED
HIGH QUALITY, RELIABLE & SPEED

Call/Whatsapp : 0685 566 368
Sasa sio bodaboda kama tunataka gari tunafanyaje au na huku napo hatukopesheki
 
carina?alafu unatumia tecno,alafu upewe mwaka?
Wabongo bwana kwa kuwa Tecno zilianza kuuzwa Africa mnazidharau ila Samsung kwa kuwa zilianza kuuzwa ulaya ndio mnaziheshimu maana yake hapo sio kama mnazidharau tecno ila mnajidharau wenyewe alafu wazungu wakikuiteni manyani mnakasirika

By the way tecno kwa sasa pia zinauzwa ulaya mlivyo wajinga ndio mtaanza kuziheshimu kwa kuwa wazungu nao wanazitumia

Back
Top Bottom