Karibu baby sis

Karibu baby sis

🤣saa zingine na wewe una maneno sana mtumishi Lamomy ..

apa matunda iko upande kwa mfano 😅

hata nahivyo injili lazima isonge mbele.

Na mwaka huu 2024 ni mwaka wa kuhuisha na kufungua maskio ya mioyo na Roho ziliyo ziba ili iwe rahisi kuskia sauti na kutambua wito wa MUNGU
Tunaizibua kwa maombi na maombezi ili hatimae kila mpendwa aweze kusikia sauti ya wito wa MUNGU katika maisha yake....

Pokea muujiza wako mtumishi Lamomy ...

Ooh hallelujah 🔥
Huo muujiza nna shaka nao, ni wa kweli.?
Ww km Gwaji boy uongo mwingi unapiga waumini tyuu!!
 
Huo muujiza nna shaka nao, ni wa kweli.?
Ww km Gwaji boy uongo mwingi unapiga waumini tyuu!!
karibu kwenye maombi na maombezi ya kuhuishwa na kufunguliwa J4 au Alhamis kila wiki nipo mwenyewe kwenye mimbari ya bwana kwaajili hiyo na utapokea muujiza wako kabla mwaka 2024 haujaisha,
Na Bwana akubariki sana
 
F.P sio wewe,hapa Kuna mtu mwingine tunamzungumzia....
hata kama ni mimi si mbaya,
Yesu Kristo mwenye alinenewa na kudhihakiwa kwa namna zote lakini alikaza mpaka akafika calvary kwaajili yangu na yako,
Sembuse mimi mnyonge nisiestahili kabisa chochote.....

Hata naivyo injili ya Mwokozi Yesu Lazima isonge,

milima na mabonde vinatutia nguvu na ujasiri wa kufanya bidii zaidi...

Oohh hallelujah.....
 
karibu kwenye maombi na maombezi ya kuhuishwa na kufunguliwa J4 au Alhamis kila wiki nipo mwenyewe kwenye mimbari ya bwana kwaajili hiyo na utapokea muujiza wako kabla mwaka 2024 haujaisha,
Na Bwana akubariki sana
Nauli ya kuja kwenye maombi sina Apostle 🤣
 
Back
Top Bottom