Karibu baby sis

Anajua atarudisha kwenyea sadaka🤣🤣🤣
sadaka ni ya Mungu,

ukitoa kwa ukarimu na Bwana wa majeshi atakuona mpaka moyoni mwako,

asante mama yangu mpendwa sana Joannah
na Mungu akubariki na kukujaza rehema na baraka tele pale utakapo punguza na kumtolea yeye...
 
sadaka ni ya Mungu,

ukitoa kwa ukarimu na Bwana wa majeshi atakuona mpaka moyoni mwako,

asante mama yangu mpendwa sana Joannah
na Mungu akubariki na kukujaza rehema na baraka tele pale utakapo punguza na kumtolea yeye...
🤣🤣🤣🤣Uko vizuri kwenye kupiga Tlaaatlaaa aka tantalila
 
Sisi tutakuwa wapitisha vikapu sadaka kasema tusitoe 🤣🤣🤣
actually utakua mgeni mzito,

mtapata fursa ya kipekee sana, kujitambulisha na kusalimia wapendwa katika Yesu. mwanzo kabisa mwa ibada, lakini pia mwisho mwa ibada yenyewe,

hata kama mna sadaka ya kipekee ya wimbo wa kumtukuza Mungu au sadaka yeyote ya shukrani basi pia mtapata fursa hiyo pia..
 
Hivi sana nawaombea wale wote watakao wiwa kuungana kwenye maandamano,

ili kusudi mawazo, maneno na matendo yao yajazwe Roho Mtakatifu, wote waandamane kwa ustaarabu, utulivu, upole, salama na amani,

na Mwenyezi Mungu awabariki sana....
Muwe na Maandamano mema sana kesho Jumatano, January24...
 
Sisi sadaka tutoe wapi km nauli tu tumekosa baba mtumishi 🤣🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…