Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Yupi jirani 😂😂😂Mwingine naona ameanza kusambaza ndizi huko kaskazini😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi jirani 😂😂😂Mwingine naona ameanza kusambaza ndizi huko kaskazini😂
Jirani kumbe upendi vituko nilikua sijui, we pita pita kwa wasafi medias utaona anasukuma mkokoteni.Yupi jirani 😂😂😂
Ukizidi ni shidaHahahahahaha..utofauti muhimu
Kumbe makondakta 🤣🤣🤣Jirani kumbe upendi vituko nilikua sijui, we pita pita kwa wasafi medias utaona anasukuma mkokoteni.
Hahahahaha..hautakiwi kuzidi ..uzee kdg ujana kdg mambo buli buliUkizidi ni shida
😂 unajua raia namba 1 yupo humu ngoja aisome hiyo comment akamwambieKumbe makondakta 🤣🤣🤣
Bashite atafika mbinguni akiwa amechoka sana
Sawa mkuu mzani umebalanceHahahahaha..hautakiwi kuzidi ..uzee kdg ujana kdg mambo buli buli
Yeye mwenyewe anasemwa itakuwa kijakazi wake 🤣🤣🤣😂 unajua raia namba 1 yupo humu ngoja aisome hiyo comment akamwambie
Vidole vyangu komaa😅Yeye mwenyewe anasemwa itakuwa kijakazi wake 🤣🤣🤣
Tena vikomae 🤣Vidole vyangu komaa😅
basi sawa mtumishi,Huyo hana shida kwenye miamala anatulia kwanza 🤣🤣🤣🤣
Sisi tutakuwa wapitisha vikapu sadaka kasema tusitoe 🤣🤣🤣Anajua atarudisha kwenyea sadaka🤣🤣🤣
sadaka ni ya Mungu,Anajua atarudisha kwenyea sadaka🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Uko vizuri kwenye kupiga Tlaaatlaaa aka tantalilasadaka ni ya Mungu,
ukitoa kwa ukarimu na Bwana wa majeshi atakuona mpaka moyoni mwako,
asante mama yangu mpendwa sana Joannah
na Mungu akubariki na kukujaza rehema na baraka tele pale utakapo punguza na kumtolea yeye...
actually utakua mgeni mzito,Sisi tutakuwa wapitisha vikapu sadaka kasema tusitoe 🤣🤣🤣
Sisi sadaka tutoe wapi km nauli tu tumekosa baba mtumishi 🤣🤣😂actually utakua mgeni mzito,
mtapata fursa ya kipekee sana, kujitambulisha na kusalimia wapendwa katika Yesu. mwanzo kabisa mwa ibada, lakini pia mwisho mwa ibada yenyewe,
hata kama mna sadaka ya kipekee ya wimbo wa kumtukuza Mungu au sadaka yeyote ya shukrani basi pia mtapata fursa hiyo pia..