Karibu baby sis

Karibu baby sis

Ahsante sis Joannah 🙏
Nakupenda na unalijua hilo, huyo black flower sio mimi. Ningefungua id mpya ningekwambia, huyo itakuwa tulifanana tone za uandishi..!!
Ss hivi nitakuwa binti mwema I promise 🤣🤣
Atakenitukana tyuu fasta namuita Active amalizane naye!!
Nakupenda sana 😍😍😍
Nimefurahi,karibu sana na utulie Sasa acha mdomo wako wa kizaramo🤣🤣🤣🤣
 
Karibu dear ila jiepushe na ban bwana ukiona mtu mkorofi muepuke tu umkalie kimya tena toka kabisa kwenye hiyo thread [emoji7] sawa chimamy

Mbona kuwa binti mlokole unaweza [emoji1787] kuepuka ban nini kinakushinda eti Lamomy ebu shangazi Joannah nisaidie [emoji1787]
Ahsante kwa ushauri dada nitawaepuka mwaya 🙏
Nimeokoka ss hivi
 
Faidika na darsa la FaizaFoxy:

Kwa msamiati wa "slang" wa Kingereza "sissy" ni mwanamme mwenye mambo ya kidada (shoga).

Hapa unamuongelea mdogo wako wa kiume ambae ni "sissy"? Au wa kike ambae ni "sis"?
Miss JF una mdomo 😂😂😂
Bibi hongera kwa kutwaa taji
 
Kwamba sisy yake ni Shoga yake Si mnapenda kuitana Shoga nyinyi ukimuona Mwanamke mwenzio unamuita Shoga yangu nikuambie au siku hizi mmeacha kuitana mashoga?

Hata ukisikiliza Taarabu za zamani mlikua mnaimbana Shoga sijui nini na nini sikiliza usikie
Bibi utamuweza wewe?! 😂
 
Back
Top Bottom