Karibu baby sis

Thread ya mishangazi hii
 
Yes kwa kuamua uko sawa kabisa Mama yangu mpendwa...

Natamani sana uamue kumjua na kufuasa Mungu ninae muamini na kumtumikia awe bwana na mokozi katika kuishi kwako humu duniani na awe tarajio la furaha yako mbinguni
Baba mtumishi bado unanipenda ww, umesikia Lamomy mbio umekuja kutia nongwa zako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani Bora umemfunda,maana majibu yake anayajuaga mwenyewe Mtu akimchokoza anampa hapo hapo bila kumung'unya maneno...mi niliona dalili za kumtukana Mtu naachana nae chap!
Kuna raia wanaboa humu ujue sisy, mtu uko na yako anakufatilia km anakudai.!
Ukimjibu anakimbilia kwa mods kuomba msaada badala akaze, mi mbona siwafati mods wakinikera.?!!
 
Unazingua Apostle πŸ€£πŸ€£πŸ˜†
 
Kuna raia wanaboa humu ujue sisy, mtu uko na yako anakufatilia km anakudai.!
Ukimjibu anakimbilia kwa mods kuomba msaada badala akaze, mi mbona siwafati mods wakinikera.?!!
Tena sio anakudai,malizia hivi anakudai Figo 🀣🀣🀣Halafu Moyo wa kupambana hawana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Si ndio hapo sasa, yani humu ingekuwa tunaonana tungepasuana..!!
Halafu dume zima linaleta makasiriko mpk unabaki kulishangaa
Oya
Nasubiri picha za vacation kule kwa anko mshana
 
Nakuja tajiri, kwanza bday ya baby wako iliandaje?! Hilo fuko shikilia nakuja tumalize deal πŸ˜‚
Dah. Nisiseme wakasikia. Mpambe ulikosekana ikawa huzuniπŸ˜‚. Karibu. Kantri uko naye karibu hapo?πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…