Karibu baby sis

Karibu baby sis

Jamaniiiiii my baby Sis is back!

Nilikumiss sana mdogo wangu, Mwehu wangu, welcome back my lovely Sis, ur such a beautiful soul.

Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo wa dhahabu, walio karibu na wewe watashuhudia hili.

Juzi niliona I'd mpya imechangamka inaitwa black flowers nikajua ni wewe, nikamcheck fastaaa PM, I was so disappointed baada tu ya salam nikapata jibu"Mimi sio cute wife"🙄🙄🙄🙄🙄🙄nikamwambia sawa nikandoka kinyongeee, yaani I was surprised kajuaje namtafuta lamomy🤣🤣.

Welcome back kipenzi, am sure shostisto wako Missy Gf atakuwa anachekelea maana alikuwa kapooza kama ndegere mjane.

Karibu Tena beautiful, ila punguza wenge, usipigwe tena ma ban yasiyo na lazima usiwe kama mndewa Extrovert 😅. Am happy umerudi dogoake.😘
Thread ya mishangazi hii
 
Yes kwa kuamua uko sawa kabisa Mama yangu mpendwa...

Natamani sana uamue kumjua na kufuasa Mungu ninae muamini na kumtumikia awe bwana na mokozi katika kuishi kwako humu duniani na awe tarajio la furaha yako mbinguni
Baba mtumishi bado unanipenda ww, umesikia Lamomy mbio umekuja kutia nongwa zako 😂😂😂
 
Yaani Bora umemfunda,maana majibu yake anayajuaga mwenyewe Mtu akimchokoza anampa hapo hapo bila kumung'unya maneno...mi niliona dalili za kumtukana Mtu naachana nae chap!
Kuna raia wanaboa humu ujue sisy, mtu uko na yako anakufatilia km anakudai.!
Ukimjibu anakimbilia kwa mods kuomba msaada badala akaze, mi mbona siwafati mods wakinikera.?!!
 
Actually mimi ni Apostle,
Lakini sistahili chochote kabisa, kwako na kwa wengine, ni mnyonge sana

Lakini, pale ninapokua dhaifu ndipo nilipo na nguvu zaidi..
Ujasiri wangu na nguvu zangu ni kutoka kwa Bwana na Mwokozi wa maisha yangu na yako katika Yesu Kristo alie hai...
Zaburi: 23 yanipa nguvu zaidi ya kusonga mbele licha ya kuhukumiwa kwa yote
Unazingua Apostle 🤣🤣😆
 
Kuna raia wanaboa humu ujue sisy, mtu uko na yako anakufatilia km anakudai.!
Ukimjibu anakimbilia kwa mods kuomba msaada badala akaze, mi mbona siwafati mods wakinikera.?!!
Tena sio anakudai,malizia hivi anakudai Figo 🤣🤣🤣Halafu Moyo wa kupambana hawana
 
😂😂😂 Si ndio hapo sasa, yani humu ingekuwa tunaonana tungepasuana..!!
Halafu dume zima linaleta makasiriko mpk unabaki kulishangaa
Oya
Nasubiri picha za vacation kule kwa anko mshana
 
Nakuja tajiri, kwanza bday ya baby wako iliandaje?! Hilo fuko shikilia nakuja tumalize deal 😂
Dah. Nisiseme wakasikia. Mpambe ulikosekana ikawa huzuni😂. Karibu. Kantri uko naye karibu hapo?🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom