Karibu baby sis

Karibu baby sis

Joannah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2020
Posts
20,921
Reaction score
49,014
Jamaniiiiii my baby Sis is back!

Nilikumiss sana mdogo wangu, Mwehu wangu, welcome back my lovely Sis, ur such a beautiful soul.

Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo wa dhahabu, walio karibu na wewe watashuhudia hili.

Juzi niliona I'd mpya imechangamka inaitwa black flowers nikajua ni wewe, nikamcheck fastaaa PM, I was so disappointed baada tu ya salam nikapata jibu"Mimi sio cute wife"🙄🙄🙄🙄🙄🙄nikamwambia sawa nikandoka kinyongeee, yaani I was surprised kajuaje namtafuta lamomy🤣🤣.

Welcome back kipenzi, am sure shostisto wako Missy Gf atakuwa anachekelea maana alikuwa kapooza kama ndegere mjane.

Karibu Tena beautiful, ila punguza wenge, usipigwe tena ma ban yasiyo na lazima usiwe kama mndewa Extrovert 😅. Am happy umerudi dogoake.😘
 
Jamaniiiiii my baby Sisy is back....
Nilikumiss sana mdogo wangu,Mwehu wangu, welcome back my lovely Sisy, ur such a beautiful soul...Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo wa dhahabu, ......walio karibu na wewe watashuhudia hili,juzi niliona I'd mpya imechangamka inaitwa black flowers nikajua ni wewe,nikamcheck fastaaa PM,I was so disappointed baada tu ya salam nikapata jibu"Mimi sio cute wife"🙄🙄🙄🙄🙄🙄nikamwambia sawa nikandoka kinyongeee,yaani I was surprised kajuaje namtafuta lamomy🤣🤣..... Welcome back kipenzi,am sure shostisto wako Missy Gf atakuwa anachekelea maana alikuwa kapooza kama ndegere mjane .. Karibu Tena beautiful,ila punguza wenge,usipigwe Tena ma ban yasiyo na lazima usiwe kama mndewa Extrovert 😅,..Am happy umerudi dogoake😘
Picha?
 
Karibu dear ila jiepushe na ban bwana ukiona mtu mkorofi muepuke tu umkalie kimya tena toka kabisa kwenye hiyo thread [emoji7] sawa chimamy

Mbona kuwa binti mlokole unaweza [emoji1787] kuepuka ban nini kinakushinda eti Lamomy ebu shangazi Joannah nisaidie [emoji1787]
 
Jamaniiiiii my baby Sisy is back....
Nilikumiss sana mdogo wangu,Mwehu wangu, welcome back my lovely Sisy, ur such a beautiful soul...Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo wa dhahabu, ......walio karibu na wewe watashuhudia hili,juzi niliona I'd mpya imechangamka inaitwa black flowers nikajua ni wewe,nikamcheck fastaaa PM,I was so disappointed baada tu ya salam nikapata jibu"Mimi sio cute wife"🙄🙄🙄🙄🙄🙄nikamwambia sawa nikandoka kinyongeee,yaani I was surprised kajuaje namtafuta lamomy🤣🤣..... Welcome back kipenzi,am sure shostisto wako Missy Gf atakuwa anachekelea maana alikuwa kapooza kama ndegere mjane .. Karibu Tena beautiful,ila punguza wenge,usipigwe Tena ma ban yasiyo na lazima usiwe kama mndewa Extrovert 😅,..Am happy umerudi dogoake😘
Faidika na darsa la FaizaFoxy:

Kwa msamiati wa "slang" wa Kingereza "sissy" ni mwanamme mwenye mambo ya kidada (shoga).

Hapa unamuongelea mdogo wako wa kiume ambae ni "sissy"? Au wa kike ambae ni "sis"?
 
Back
Top Bottom