Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaandike kitabu chako au makala yako kwenye gazeti. hapa upo JF.Sitaki na sibadilishi,Kwa Nini wamedilisha bila kuwasiliana na Mimi?Mimi Natambua haki zangu za kiuandishi, shangazi unajua kama maandiko ya mtu Yana hakimiliki?
Kwa hiyo ni yeye amejifungulia uzi he!Kwa maana nyingine amejianzishia Uzi anajielezea yeye mwenyewe sijasema Mimi lakini
nilikumithi mchuchuWw ngadu unanitafuta?! Kaokote maparachichi kwanza 😂
Uwe na adabu na shemejio bwege wee!!
NAPOKEA KABISAAmina 🙏
Baraka ziwe kwako pia na familia yako.
Ww nitaacha kumshawishi kaka akuoe, wifi mapema ushaanza nongwa 😂😂😂Kwa hiyo ni yeye amejifungulia uzi he!
aise ipo nguvu halisi ndani yake,Hiyo zaburi unaipenda kuitolea mfano 🙏
Aliolewa kwa ndoa ya bashasha sana mbona . Ila zawadi zake na mmewe wachukulie. Nataka waende Dubai fungate.nawalipia😂😂Mpambe nisharudi na safari hii mama mchungaji lazima umpate haiwezekani akusumbue toka mwaka jana, tumeingia mpya bado anasumbua 🤣🤣🤣
Tayana-wog shosti huyu mtu mgodi umetema usije kusema sijakwambia
Wizzy yupo kajaa anawazoom 😂😂😂
sio kesho ni keshokutwa ,Kesho uje tukaandamane mtumishi 😂😂😂
Mxieeeeww!! Mbona hujaja Christmas nilikuwa chugga ujue 🤣🤣🤣nilikumithi mchuchu
Sasa nimeambiwa kuwa eti huyu bi dada amejifungulia uzi mwenyewe eti yeye ni qute wifeWw nitaacha kumshawishi kaka akuoe, wifi mapema ushaanza nongwa 😂😂😂
Ww unapenda kumzingua dada angu 🤣🤣🤣aise ipo nguvu halisi ndani yake,
inanisaidia sana kusonga mbele kwa bidii hata katika ugumu katika kuhubiri neno, zaburi23 inanipa nguvu napita salama sana na hata mama yangu mpendwa sana Joannah nadhani anafahamu utukufu wa Mungu ulivyo na nguvu..
Mbona hata hatuna taarrrifa jjaammaannii😕Huyo ni mke halali wa Countrywide
Kweli?! Mbona mi sina taarifa jamani!!!Aliolewa kwa ndoa ya bashasha sana mbona . Ila zawadi zake na mmewe wachukulie. Nataka waende Dubai fungate.nawalipia😂😂
christmas nimeila mwailubi😂Mxieeeeww!! Mbona hujaja Christmas nilikuwa chugga ujue 🤣🤣🤣
Usafi ni jmosi ya mwisho ya mwezi tunajua, kesho ni maandamano 😂sio kesho ni keshokutwa ,
kesho ni mwanzo wa siku ya usafi
Jf hujaizoea?! Ww walikuita fifi moto au umesahau?! 😂😂😂Sasa nimeambiwa kuwa eti huyu bi dada amejifungulia uzi mwenyewe eti yeye ni qute wife
Mmh. Naogopa kusema ulikuwa fungate na" K" ukatuuza. Kaka yako @ Zulu man anajua. 😂😂🏃♂️🏃♂️Kweli?! Mbona mi sina taarifa jamani!!!
Hii ndoa batili tukate rufaa shemeji