Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Ndio tunampokea mwenzetu we mzee [emoji1787]
Halafu we cheupe unapotea sana, nimekuhamu ujue mwenzio...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tunampokea mwenzetu we mzee [emoji1787]
Nimekuhamu pia we mzee 🤣 uzee unanijia vibaya mpaka kuingia jf nimekuwa mvivuHalafu we cheupe unapotea sana, nimekuhamu ujue mwenzio...
Hajashuhudia utaahira wa watu 😂Mtakatifu Anne🤣🤣
na mbona hamjashare matokeo ya hayo maombi mpaka wa sasa kwamba mmeelekezwa nn cha kufanya na muanzie wap katika ulimwengu wa roho....Maombi tulishafanya ww kesho njoo mpitie na kaka Luka 🤣🤣🤣
unashushuaga we bibi mi sijawahi kukumanya hata kidogo.Faidika na darsa la FaizaFoxy:
Kwa msamiati wa "slang" wa Kingereza "sissy" ni mwanamme mwenye mambo ya kidada (shoga).
Hapa unamuongelea mdogo wako wa kiume ambae ni "sissy"? Au wa kike ambae ni "sis"?
🤣🤣🤣🤣 Hebu niache kwanza umefanya nicheke hiyo stakishari post to stakisharipostna mbona hamjashare matokeo ya hayo maombi mpaka wa sasa kwamba mmeelekezwa nn cha kufanya na muanzie wap katika ulimwengu wa roho....
maana saa zingine ukikosea kwenye maombi unajikuta unaanzia stakishari police post na unaishia stakishari tena dah...
Lamomy dear nimejiona mie mtu mzima nawaza maisha yangu dunia imeisha , so Yesu ananikuta nimekigawa sina familia . Gari. Ela inayoingia kwa siku.mwezi.mwaka. mtu humu amekosa danga au amechefukwa anakuja kunidis aisee sina muda sina . Ndugu yangu angalia wimbo huu taarab utaelewa leila -sina muda huo
View: https://youtu.be/xxgf1tDf02A?si=8x5SEazn1wj49J8Z
Hiyo hapoDa Mau bando limekata ntumie niangalie basi 😜
🤣🤣🤣🤣 Nani huyo kakupiga mikwara mbuzi last born!!Eti niache ujinga
Yaani ujinga wafanye wengine halafu jitu linakuja kunitisha
Naona sababu ni kucheka ile siku😂😂😂😂.
Nina muda basi,ni kublock tu.
Kwan mashangazi tumewakosea nini mbona wanatuandama?! 😂😂😂[emoji1787][emoji1787] Eenh kipenzi ndio sisi tupo
Eeeh! Wa kumwitu mtakatifuMtakatifu Anne🤣🤣
au basiWewe Kijana una gubu sana wewe🤔🤔🤔
Hizo za kwenye ule uzi hazihusiani wala na hiyo mikwara.🤣🤣🤣🤣 Nani huyo kakupiga mikwara mbuzi last born!!
Hebu mtaje basi buana, mbona nilipitwa na mengi jamani.. hamjanitunzia hata screenshot