Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyuzi zake ndo zinanivunjaga mbavu 😂😂😂Muogope sana huyo
Maana huwaga anaandika vitu Hadi unabaki kusema heeee huyu jamani🙄🙄🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣Lakini yumo tu
hapo kwa akina Apostle Mwamposa na Bishop gwajiboy sio🤓Tlaatlaah kumbe ww ni mzee wa Kawe uliyechangamka 🤣🤣🤣
Hapana😂Ukorofi tu.🥲
Ukiachana na CCM ukakaza kwenye upendwa utawazidi wote hao 😜hapo kwa akina Apostle Mwamposa na Bishop gwajiboy sio🤓
wale ni wapendwa katika Kristo Yesu ila wako mbele kidogo kunizidi mimi mnyonge sana, na nisiestahili chochote mbele za Mungu na wanadamu
Mama yangu mpendwa sana Joannah , nakupenda sana..Muogope sana huyo
Maana huwaga anaandika vitu Hadi unabaki kusema heeee huyu jamani🙄🙄🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣Lakini yumo tu
Baada ya kazi ya Mungu apo usharikani, kidogo nafanya na hiyo ingine....Ukiachana na CCM ukakaza kwenye upendwa utawazidi wote hao 😜
Jomoni jomoni wapendwa,Na nyuzi zake ndo zinanivunjaga mbavu 😂😂😂
Hiyo kazi muachie kaka Luka, ww baki kwa Mungu mboga mboga watakuponza siku ya mwisho uangukie motoniBaada ya kazi ya Mungu apo usharikani, kidogo nafanya na hiyo ingine....
Maana Imeandikwa,
Mamlaka zote zatoka kwa Mungu,
mimi ni nani hata nijitenge na agizo la Baba yangu wa Mbinguni?
Ni muhimu kuzitii mamlaka
Huwezi kuwatumikia mabwana wawili,chagua upande....ndio maana Nina mashaka sana na wewe kumbe Tena mwana CCM!Loooh salaleeeeee hamna kitu hapo. Lamomy huyu Mtu muongalie Kwa jicho la tatuBaada ya kazi ya Mungu apo usharikani, kidogo nafanya na hiyo ingine....
Maana Imeandikwa,
Mamlaka zote zatoka kwa Mungu,
mimi ni nani hata nijitenge na agizo la Baba yangu wa Mbinguni?
Ni muhimu kuzitii mamlaka
🤠🚶🚶🚶🚶Jomoni jomoni wapendwa,
mbona mnamzodoa Apostle familia ya Mungu badala ya kumtia moyo kwa maombi na sadaka injili isonge mbele...
😂😂😂 Hapa tumepigwaHuwezi kuwatumikia mabwana wawili,chagua upande....ndio maana Nina mashaka sana na wewe kumbe Tena mwana CCM!Loooh salaleeeeee hamna kitu hapo. Lamomy huyu Mtu muongalie Kwa jicho la tatu
🤣🤣🤣 Hebu nikitulia niutafute nicheke, da mau anafurahisha sana.!Kuna Moja alitoa wiki ilee nyuma ya kurogwa na wachagaa hakika ungebaki mdomo 😮😮😮😮😮
hivi sasa mambo imebadilika, tunawafuata wapendwa na kuwahubiria neno huko walipo, kama uliniona ccm basi ni vile hukuniona act, chauma, adc au chadema, huko kote tunafanya hudumu kunao wapendwa wetu humo kwenye hayo makundi,Huwezi kuwatumikia mabwana wawili,chagua upande....ndio maana Nina mashaka sana na wewe kumbe Tena mwana CCM!Loooh salaleeeeee hamna kitu hapo. Lamomy huyu Mtu muongalie Kwa jicho la tatu
🤣saa zingine na wewe una maneno sana mtumishi Lamomy ..😂😂😂 Hapa tumepigwa
Huyu analeta janja janja za nyani kila mti wenye matunda anarukia
Isijekuwa ile eden nyingine jirani😂Jirani tunaelekea Eden 😂😂😂