Karibu baby sis

Karibu baby sis

Sawa mkuu mzani umebalance

Mkuu Half american , hii ID yako kila nikiiona hunikumbusha sana Life struggles zangu downtown Kinondoni, back in ze day... maisha ya road, mid to late 2000's.

Kulikuwa na daladala (coaster) yakuitwa 'HALF LONDON' na mpinzani wake mkubwa wa kuitwa 'MWENDO WA LUBEYA'... hizi ndizo daladala zilizotamba sana route ya UBUNGO to DRIVE INN (via Shekilango road, Kawawa road) miaka hiyo ya mid/late 2000.

Katika route hiyo, hizo gari mbili ndizo zilikuwa 'pamba nyepesi'... yaani very neat nje & ndani, mziki mkubwa, suka & konda wote mabishoo, halafu mwendo wa shilingi a.k.a iende irudi. 😎

Hakika huwa napata good memories sana nisomapo ID yako. Live long mkuu HALF AMERICAN.

Samaleko Kinondoni. Samaleko Mzizima. 😎

-Kaveli-
 
si mimi,
ni katika yeye anitiaye nguvu,

sifa na utukufu ni kwake...

Ubarikiwe sana na uwe na wasaa mwema sana Mama Joannah
Neno linasema,wote waliompokea aliwapa uwezo kufanyika watoto wa Mungu,kama wewe ni Mmoja wa waliompokea shangilia moyoni mwako Kwa maana Wana wa Mungu watairithi nchi na Yerusalem mpya itafanyika makao yao ya kudumu mpaka utimilifu wa dahali.
Lakini kama wewe ni F.P,hakika ziwa la moto litakuwa nyumbani kwako dawamu!Shime mrudie Muumba upate Toba na Rehema ,maana neno linatufundisha"ijapokuwa dhambi zenu ni nyekundu kama damu au bendera atazisafisha sitakuwa nyeupe kama theluji au sufi....Nikutakie usiku wenye baraka
 
nimefurahi sana kwa sadaka yako ya neno la baraka mno kwangu na wapendwa wengine,

na zaidi sana ujumbe wa kipekee sana wa neno la Mungu juu ya uweza wa Ki-Mungu ndani ya watoto wake walio mpokea na kufanyika wana wa Mungu...

ukisoma Mt 5;3-12
FUNGU LA 12 LINASEMA. Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.

Asante sana kunitakia kheri katika usiku huu maalumu sana kuelekea asubuhi ya maandamano na Mungu akubariki sana...
 
Natumai utaongoza maombi Asubuhi ya kesho kabla ya maandamano
 
Nitachelewa kidogo kufika,
niko safari kuja katika jiji la Dar es Salaam kutoka mkoni, nilikua huku kwaajili ya huduma..

lakini hata na hivyo nitafanya maombi ya nguvu kwaajili ya watakao shiriki ili maandamano yafanyike kwa amani, uhuru, haki, usawa na upendo, kwa wanaohusika na wasio husika...
 
🤣🤣🤣Babu hukosagi maneno wewe.
Nipo Babu
Hahaha........unajua sisi tuliozaliwa zamani, tulifundishwa kusema kweli daima, ndiyo maana pamoja na Uzee huu siku nikiwa nina Kiu ile nyingine namwambia kabisa Bibi yenu kuwa nina Kiu badala ya kujichukulia Sheria Mkononi kama ndugu yenu dronedrake afanyavyo ...🏃🏃🏃
 
Sasa Babu,bibi anaweza kukupa maji Hadi ukate kiu kweli?anawezaje kuchota maji kisimani na yeye ni Mzee?
 
Wazee hatukosi mbinu tukiamua...japo huwa tunapiga a single shot once a year

Ukizidiwa kabisa huna jinsi lazima utumie mbinu ya ndugu yenu dronedrake ...tunasema chovya chovya humaliza gogo 😜🏃🏃🏃
 
Hahaha.........ngoja nipunguze kula mitishamba, maana Kuna muda inafanya narudia nguvu za mwaka 47 😜🏃🏃🏃🏃
Hiyo mitishamba ukija unionyeshe nipate biashara ya kuuzia kizazi kipya nitapiga sana Hela Babu,tatizo ni kubwa mtaani 🤣🤣
 
Back
Top Bottom