Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Iko bayana mkuu unachangia kwa mapana tu au specific maana ni kutoa elimu au visa mafunzo ili kukuza kizazi cha sasa na baadae kwa ustawi wa jamiiFafanuka zaidi unapenda tuchangie nini kwenye hii mada. Maana kuna mengi umegusia hapa.
Safi for the fully fledged package of constructive advice πππKwa Wanaume,
-Kama hujajipanga kimaisha kiuchumi na kiakili kuweza (kuhudumia, kulinda, kuongoza), basi USIOE.
-Epuka kadri unavyoweza kujibishana na Mwanamke wako. Usiingie kwenye drama zake, Respect yourself.
-Mwanamke aliyekuzidi Umri achana nae, wala usiwe na mahusiano nae. Unastahili kilicho bora.
-Kuwa na Msimamo kwenye mahusiano yako kama kiongozi wa familia, amua na simamia ulichoamua.
-Mgogoro wowote utakaohitaji ushauri wa ndugu, basi hakikisha umeshauriwa na (Baba yako, Baba mkwe, wajomba au ndugu wengine wa kiume.
-Mke aliyechepuka usimsamehe. Narudia tena USIMSAMEHE.
Be a Man, Focus on your Goals.
Kumbe nayo ni tiba?!!Ukishindwa kusamehe lipa kisasi usiumie
Kusamehe ni tiba kulipa kisasi pia ni tiba japo ina madharaKumbe nayo ni tiba?!!
Nimeipenda sana hii mkuu. Binafsi kisasi naona kama therapy. Smart revengeUkishindwa kusamehe lipa kisasi usiumie
Nimeipenda sana hii mkuu. Binafsi kisasi naona kama therapy. Smart revenge
Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app