Hivi sasa si Noah tena...bali ni 14,000
Lakini no sweat hata hiyo tunaweza kuitumbua tu.
......
Ha ha ha haaaaaa... CCM ile ile.
Ni aibu sana.
ahaaaa mimi haitoshi hata lotion nayopaka mwilini na lotion imeisha
uwiiiiiiiiii! noah yangu
Utasikia wanakwambia bora kupata kidogo kuliko kukosa vyote, elfu14 hata baiskeli hatupati.
Huku ni chit chat, kwenda zako Bwana! Hivi kweli huoni aibu umefanya hesabu zako utapiga 400Trl afu afu inakuletea million 600 ambazo hapo hujakata gharama za kuandaa kikao na muda! ShenztypHizo ni hoja kweli! Aibu watu wazima kila siku mnapandia matukio!!
Mmeelewa kweli mrejesho nyuma wa majadiliano au ndiyo hiyo ya kukurupuka?
kama hujaelewa jambo uliza. Taarifa ya Barrick, kuthibitisha alichoikisema Prof Kabudi leo.
Barrick and the Government of Tanzania have also agreed to form a working group that will focus on the resolution of outstanding tax claims against Acacia. Under this proposal, as a gesture of good faith, Acacia would make a payment of US$300 million to the Government of Tanzania, with payment terms to be settled by the working group.
Una akili sana wewe. Kula tano.Hivi sasa si Noah tena...bali ni 14,000
Lakini no sweat hata hiyo tunaweza kuitumbua tu.
Mimi nitakachofanya kwa kutumia 14,000 yangu
1. Naenda kupaka rangi mikononi na miguuni - 5000/-
2. Naenda kuseti nywele - 2500/-
3. Nanunua bando la halotel la buku - 1000/-
4. Hela iliyobaki nanunua Valeur, chenji namwachia muuza duka
Baada ya hapo naingia Snapchat kujirekodi kwa furaha ya kuwaangusha wazungu kwenye majadiliano.........
Nikiporomosha tusi kama lako JF hawataelewa nani mjinga kati yangu na weweHuku ni chit chat, kwenda zako Bwana! Hivi kweli huoni aibu umefanya hesabu zako utapiga 400Trl afu afu inakuletea million 600 ambazo hapo hujakata gharama za kuandaa kikao na muda! Shenztyp
Polomosha Tu Mkuu, mjinga nitaonekana Mimi niliyesababisha Tukose Noa tupate hela ya Konyagi bapa mbili.Nikiporomosha tusi kama lako JF hawataelewa nani mjinga kati yangu na wewe