Hizo ni hoja kweli! Aibu watu wazima kila siku mnapandia matukio!!
Mmeelewa kweli mrejesho nyuma wa majadiliano au ndiyo hiyo ya kukurupuka?
kama hujaelewa jambo uliza. Taarifa ya Barrick, kuthibitisha alichoikisema Prof Kabudi leo.
Barrick and the Government of Tanzania have also agreed to form a working group that will focus on the resolution of outstanding tax claims against Acacia. Under this proposal, as a gesture of good faith, Acacia would make a payment of US$300 million to the Government of Tanzania, with payment terms to be settled by the working group.