Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Chukua my dear. Mambo yashakuwa tete!Basi nitachukua chenji yangu ya Valuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua my dear. Mambo yashakuwa tete!Basi nitachukua chenji yangu ya Valuu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] dah umevurugwa sio bure si bora tukale vitu adimu kupoza rohoHivi sasa si Noah tena...bali ni 14,000
Lakini no sweat hata hiyo tunaweza kuitumbua tu.
Mimi nitakachofanya kwa kutumia 14,000 yangu
1. Naenda kupaka rangi mikononi na miguuni - 5000/-
2. Naenda kuseti nywele - 2500/-
3. Nanunua bando la halotel la buku - 1000/-
4. Hela iliyobaki nanunua Valeur, chenji namwachia muuza duka
Baada ya hapo naingia Snapchat kujirekodi kwa furaha ya kuwaangusha wazungu kwenye majadiliano.........