Karibu hapa tujadili jinsi ya kutumia 14,000 zetu toka mgao wa Makinikia

Polomosha Tu Mkuu, mjinga nitaonekana Mimi niliyesababisha Tukose Noa tupate hela ya Konyagi bapa mbili.
Noah tu, utapata hata Benz Bus ukifanya kazi. Asiyefanya kazi na asile, wakumbushwa kila siku. Ajira zinamwagwa, fursa za kazi zinaongezeka kila siku. Ni kichwani mwako tu kufanya uamuzi. Hizo fedha za madini zikipatikana na za kuboresha mazingira ya wewe na mimi na wao kufanyia kazi na huduma za jamii
 
Wengi wanakurupuka kweli...Ila kwa thamani halisi ya hiyo pesa za ki-Tanzania inakuja Trillion ngapi?
Kama unaweza nifafanulie mkuu
 
Wengi wanakurupuka kweli...Ila kwa thamani halisi ya hiyo pesa za ki-Tanzania inakuja Trillion ngapi?
Kama unaweza nifafanulie mkuu
Akikujibu niite! Elfu 14 hata hela ya mafuta haitoshi... Hata hela ya bando la mwezi haitoshi..!!!
 
Huku ni chit chat, kwenda zako Bwana! Hivi kweli huoni aibu umefanya hesabu zako utapiga 400Trl afu afu inakuletea million 600 ambazo hapo hujakata gharama za kuandaa kikao na muda! Shenztyp
Muonee huruma atakuwa hajui kinacho endelea.
 
Inabidi nipunguze deni kwani nilitegemea hvyo nikaanza kukopa.inauma sana nilisha mwambia mwanangu muda cyo mrefu tutamiliki gari asinione wa mchezo.hivi viroba wanauza wapi tena nipooze machungu
 
Inabidi nipunguze deni kwani nilitegemea hvyo nikaanza kukopa.inauma sana nilisha mwambia mwanangu muda cyo mrefu tutamiliki gari asinione wa mchezo.hivi viroba wanauza wapi tena nipooze machungu
kula shujaa mzee
 
Mbona nimehama nilipokuwa kisa nilijua kuna Noah yangu ndio itakuwa nyumba yangu hapa mjini.

14,000/= hapa kazi ipo
 
Njoo hapa ktk kibanda changu nikuuzie supu ya kongoro 1500/=
 
14000 matumizi : balimi 6 tsh 9000 supu ya kongoro tsh 2000 bando la wik la net kwaajili ya kumsoma mange kimambi elf 3000
 
Tumpelekee mgonjwa wetu Lisu alipie matibabu. Nadhani zinatosha na chenji itabaki.
 
Jamani! Hebu tujaribu kuwa WAUNGWANA! Hv hizo 14,000 mngezipata wapi kama SIRIKALI hii ingekuwa kama hizo zilizopita (kasoro ya JKN)? Mi nadhani tuwe na +ve thinking ili iwe moja ya juhudi za kuiongezea nguvu govt iliyo madarakani, angalau imeonesha nia na njia, next time itafanya vzr zaidi ikiwa tutaipa moyo, tusikatishane tamaa bhana, ala!
 
Sisi hayo hatujali...tunataka tupate 14,000 tuitumbuee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…