Hivi sasa si Noah tena...bali ni 14,000
Lakini no sweat hata hiyo tunaweza kuitumbua tu.
Mimi nitakachofanya kwa kutumia 14,000 yangu
1. Naenda kupaka rangi mikononi na miguuni - 5000/-
2. Naenda kuseti nywele - 2500/-
3. Nanunua bando la halotel la buku - 1000/-
4. Hela iliyobaki nanunua Valeur, chenji namwachia muuza duka
Baada ya hapo naingia Snapchat kujirekodi kwa furaha ya kuwaangusha wazungu kwenye majadiliano.........