Karibu Jean Baleke

Karibu Jean Baleke

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Karibu bongo
===

1673844280794.png

Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili mshambuliaji Jean Baleke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoka klabu ya TP Mazembe kwa mkataba wa miaka miwili.
 
Huyu Baleke John (Jean) Bakilile sio mgeni hapa bongo, ndio kwao, labda akudanganye wewe
 
Huyu Baleke John (Jean) Bakilile sio mgeni hapa bongo, ndio kwao, labda akudanganye wewe
 
Mama yangu, mimi ni Yanga ila kwa hili Shambuliaji tumekwisha.

Atatufunga sana huyu. Kweli mtani kaamua.
Hamna kitu, TP mazembe alikuwa anasugua benchi, kaja kwa mkopo kufufua kipaji
 
Mama yangu, mimi ni Yanga ila kwa hili Shambuliaji tumekwisha.

Atatufunga sana huyu. Kweli mtani kaamua.
😅😅😅 Upuuzi gani huu hebu tupe current data zake...
 
Hamna kitu, TP mazembe alikuwa anasugua benchi, kaja kwa mkopo kufufua kipaji
Tumemchukua kutoka mazembe lakini alikuwa anachezea ligi ya lebanon
 
Msubirini ajeeeee narudiaaa alikuwa anachezea taifa sio simba am yanga ndugu zanguuuniii

Nazijua kwa undani kidoooogo msione wageni wanakuja wanaomba kuondokaa awapendiiii wnayokutana nayooo nnsirii zaooo muulizen haruna niyonzima...hao wanaigeria walikuwa moto leo wanaomba kukimbia

hizi tmu ziacheni tu musonda mnaemjua akija ajiopange msishangaee yatakayomkuta..ogopa neno MSUMARI.

NI Zaidi ya Uhaiñi...ama uhujumu uchumi
 
Back
Top Bottom