Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nmefika
ndiyo yule buana aliyetulowesha wabongo ile day? daaaMechi ya kirafiki Simba vs Mazembe alifunga goal la tikitaka dakika za 80+
Hamna kitu, TP mazembe alikuwa anasugua benchi, kaja kwa mkopo kufufua kipajiMama yangu, mimi ni Yanga ila kwa hili Shambuliaji tumekwisha.
Atatufunga sana huyu. Kweli mtani kaamua.
😅😅😅 Upuuzi gani huu hebu tupe current data zake...Mama yangu, mimi ni Yanga ila kwa hili Shambuliaji tumekwisha.
Atatufunga sana huyu. Kweli mtani kaamua.
Tumemchukua kutoka mazembe lakini alikuwa anachezea ligi ya lebanonHamna kitu, TP mazembe alikuwa anasugua benchi, kaja kwa mkopo kufufua kipaji
Kama umeumia hivi hebu toa huo mwiko huko nyuma😅😅😅 Upuuzi gani huu hebu tupe current data zake...
Hii kiki lazima ibume niko pale
Hii kiki lazima ibume niko pale