Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Kuna kipindi Rais Samia alienda Marekani, halafu ikatokea kwamba hajafika Ikulu ya Marekani. Baasi humu mitandaoni akaanza kushambuliwa hasa na watu wa CHADEMA kwamba hajaonana na viongozi wakuu wa Marekani kisa Tanzania hakuna demokrasia.
I dont think kama walisema kweli ila sawa hakwenda.
Now Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Hariss anakuja Tanzania. Mbona wale wapinzani hawaongelei demokrasia?
Tusiache kusema ukweli kwamba Rais Samia Suluhu kafanikiwa kuimarisha demokrasi nchini na Diplomasia yetu ndio maana Kamala anakuja. Mwishoni mwa mwaka Rais wa Marekani Joe Biden atakuwa hapa.
Dunia inaona haki zinavyolindwa, demokrasi inavyoimarika. Kudos Mademe President.