haswaaaaa ila wewe ndo unatuachaga kwenye mataaaaaaaa....sijui unaopoaga!!!
wadada wa mujini..wana mambo mengi..wengine tumekuja dar kwa mbio za mwenge..akishaonaga wadada wa mjini anatiachaga kwa mataa
kitu Vin Diesel ila huyu Kipaji Halisi mhhh
Nicas Mtei halafu nalikokota mie wewe umepiga pens na tshirt umechill pembeni
rahaje watu watajikeri siku hio
karibu sana kipenzy......unywe rojo la mayai mabici kuna watu wana sauti watakutoa nishai Kaizer Jiwe Linaloishi Fidel80 sauti zao kama vinanda vya waterman
..tena akiwa salama salimini..nitamrudisha