Karibu katika birthday partyyyy ya MJEDA wa Leo-Tupo-Hapa Pub!!!!!!!

Karibu katika birthday partyyyy ya MJEDA wa Leo-Tupo-Hapa Pub!!!!!!!

Nivea, mimi nitawaharibia sherehe, si unajua sisi watu wa zamani vinywaji vyetu? Chibuku, Togwa, Mbege, Ulanzi nk?! Hizo Heinken, Jack D, Contessa etc ndo vitu gani hivyo???!

HorsePower jina lako linanikumbusha mspaniard fulani hivi alifanyaga kitu sitakaa nimsahau!!! Nicas Mtei ameagiza mbege from Moshi, manake na mie bila mbege ndofyu haipandi. Bishanga na Ruttashobolwa wataleta rubisi. Husninyo atanitumia wanzuki.

Kama unataka kukutana na huyu baunse karibu sana ulete fujo...........
vickers_b_9.jpg
 
Last edited by a moderator:
heheheheheheheeeeeeeeeeeeeee

wa sita hupewa tisa harawa eeee wa moja haongezekiiiiiiiiiiii

mnaukumbuka huu wimbo kazier na Arushaone?!?!?!
 
Last edited by a moderator:
heheheheheheheeeeeeeeeeeeeee

wa sita hupewa tisa harawa eeee wa moja haongezekiiiiiiiiiiii

mnaukumbuka huu wimbokaizer na Arushaone?!?!?!

Naukumbuka sana tu. Paloma tupe ufafanuzi bhana!
 
Last edited by a moderator:
hii imetulia, nakatisha safari yangu ya arusha kwaajili yako weka ile kontesa naona hujaitaja.
nafanya booking kabisa ukae kulia kwangu unipunguzie huu upweke.

angalia kwnye sredi mbona nimeweka...karibu sana wangu!
 
HorsePower jina lako linanikumbusha mspaniard fulani hivi alifanyaga kitu sitakaa nimsahau!!! Nicas Mtei ameagiza mbege from Moshi, manake na mie bila mbege ndofyu haipandi. Bishanga na Ruttashobolwa wataleta rubisi. Husninyo atanitumia wanzuki.

Kama unataka kukutana na huyu baunse karibu sana ulete fujo...........
vickers_b_9.jpg

Mwenye jina hilo alikutenda nini? Hebu ni-pm tafadhali ...
Huyo baunsa wako simuogopi hata kidogo, umeliona hilo umbile langu kwenye avatar???
 
Wadau wa JF CC, mwaonaje hali!?!?!?!😛eace:
Kwa mara nyingine tena , katika jitihada za kuondoa makunyanzi usoni na moyoni…..famile ya CC inapenda kuwafahamisha kuwa bro wetu, rafiki, baba, bamdogo, bamkubwa wetu, babu yetu, mpenzi wetu MJEDA wa LEO TUPO HAPA Pub anatarajia kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa mnamo tarehe 22 March 2013

.:clock: Hakika amekula chumvi si haba!!!! Hivyo basi kama kaiwaida yetu majira ya kuanzia saa kumi na mbili jioni tukutane ndani ya leo tupo hapa kwa ajili ya surprise party kwa mpendwa wetu MJEDA kabla hajaenda DARFUR kulinda Amani kwa mtutu!!! (makubwaaa!!!!!)
Kma kawaida mzee Mtambuzi (mhh pole yako ya kushikwa ugoni na utakuja kueleza vizuri ilikuwaje maana…..!?!?!) ameshaandaa maulabu na viburudisho vya kumwaga!!! govinder kumar
Contesa
Image
heheheheeeee ……………. …… na Dompo!!!

Wale matajiri wa kihaya kuna hizi kitu zenyuuu
2012-08-22-Heineken_Cube1_0.jpeg
na hizi
Safari.jpg

Mjeda mwenyewe amekuja nah ii kitu spesheli MziziMkavu atupe analysis ya alkool content ya hii makitu Real Scorpion vodka………
Wageni waalikwa , naamini KakaKiiza Mentor Kipaji Halisi Teamo watakuwepo! mtanange wa wale walimbwende na vijivazi…hakika muumba amefanya kazi yake jamani…watoto mashaallaaaaah! Watakuwepo!!!
@Kaizer (uje banaa ntakulipia Flightlink kwani dola ngapi?!?!) Asprin (please niletee Msangi wangu) Vin Diesel na wakezo Mamndenyi KOKUTONA sijui na nani tena..... sosoliso saudari Ruttashobolwa Jiwe Linaloishi Fidel80 Boflo Bishanga –tajiri la roho na mwili (hhahahahaa - bia yako unainywea kwenye square bottle) Bujibuji Chachu Ombara. Madame B atakuwepo this time ataambatana na shemeji zetu Ben Saanane, Chili Chimbuvu, kiplagati26 na CHAI CHUNGU usimuache NTIBA. watu8 na famile yako bila kumsahau Baba V!Lol! Superman…uje utoe dose tafadhali!!!
@amu na kipenzy chako Nivea sweetlady, KING’asti – yani usipokuja kwa bamkubwaako ntakusutaje! cacico gfsonwin dompo inawahusu nyie!!! FirstLady FirstLady1 mwaJ, Zion Daughter, snowhite Swts Mjeda ataka kuwa –pempered na maladies wa ukwe’heeee….huenda akaacha posho yake yooote aliyolipwa kujikimu huko Darfur (shauri zenyuuuu) lara 1 Asnam marejesho et al nimeshaweka strawberry lips…..this time ntahakikisha mtu haibebi!!! mzabzab AshaDii Judgement
na wengine woooooooooooote wenye mapenzi mema kwa JFCC NA MJEDA!!! (Heee!!! na kwangu pia nani asotaka mapenzi mema)


Kutakuwa na sharbati za aina mbalimbali - detoxifying and cleansing juices etc


KARIBUNI SANAAAAAAAAAAAA TAREHE 22 MARCH PALE LEO TUPO HAPA PUB!!!!!!

( this time nina boooonge ya surprise kwa mkaka wa ukwe’he nitakayemnaniliu siku hiyoooo……………… stay tuned!!!)
mmxwaaahhh............

Duuu jamani mbona weekend ambazo kazi nyingi za palizi hapa shambani ndio mnatuweka kwenye majaribu ya kukausha makoo? Yaani ili kulinda... hapa nina chupa maji bardi (Kilimanjaro), ila kuna colleagues noma wameaza kutilia shaka maji yangu...nasikia wanatoa maumbea yao huko, achana nao lakini.. siambiwa wala kusikia... Nawatakia kila la heri mi nitatoka kidoogo.. tupo pamoja
 
umeokoka lini? hirizi aliyokuvika Kaunga umeivua? na zile chale? mhhhhhh
Hayajamani please njoo nisaidie na huyu mlokole wa kisukuma!

kwa kipindi hiki cha mvua mmefanya vema kuleta vinywaji ambavyo havileti inzi, pia kwa matatizo ya minyoo, amoeba hapo ndio mahali pake. Cha msingi nyama na lishe nyingine kwa wiingi, tuta contribute mbuzi 2. Uking'ang'ania sana majuice basi jua pressure na visukari ndio viko karibu zaidi. Tena takwimu za kidunia zinaonyesha kwamba wanasayansi wengi, na wataalamu mbalimbali wakubwa wanaofanya maisha yawe rahisi na burudani hapa duniani wanayagonga hayo madude, je wangekuwa wanywa juice, juice za makabichi ndio tu wapo hali ingekuwaje? Ungekuta mpaka leo hii tupo mapangoni, usafiri ngalawa na nguo ni magome ya miti kama vinyago.
 
Back
Top Bottom