Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Paloma unauliza makofi porishi??hivi we ni me au ke?
Last edited by a moderator:
Paloma unauliza makofi porishi??hivi we ni me au ke?
Nivea, kumbe Mwita Maranya ni kaka yako? mi mwenzako nina hamu ya kukupa mimba, sema wee hujui tu.
Naomba unikubalie ombi langu.
MWISHO WA KUTONGOZA
heheheheheeheheheheeheh kwa blutooth au heheheeh umenichekesha sana yaani mtu ndio ananitongoza hivo ntamwambia nenda kabadili hiyo operationg system yako.mimi ukichaa wangu ni kutema mayai tu hapo kwishaaaaa Mwita Maranya ni kakayangu haswaaaaaaaa ukintongoza nakwenda mwambia
Wadau wa JF CC, mwaonaje hali!?!?!?!😛eace:
Kwa mara nyingine tena , katika jitihada za kuondoa makunyanzi usoni na moyoni ..famile ya CC inapenda kuwafahamisha kuwa bro wetu, rafiki, baba, bamdogo, bamkubwa wetu, babu yetu, mpenzi wetu MJEDA wa LEO TUPO HAPA Pub anatarajia kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa mnamo tarehe 22 March 2013
.:clock: Hakika amekula chumvi si haba!!!! Hivyo basi kama kaiwaida yetu majira ya kuanzia saa kumi na mbili jioni tukutane ndani ya leo tupo hapa kwa ajili ya surprise party kwa mpendwa wetu MJEDA kabla hajaenda DARFUR kulinda Amani kwa mtutu!!! (makubwaaa!!!!!)
Kma kawaida mzee Mtambuzi (mhh pole yako ya kushikwa ugoni na utakuja kueleza vizuri ilikuwaje maana ..!?!?!) ameshaandaa maulabu na viburudisho vya kumwaga!!! govinder kumar
Contesaheheheheeeee . na Dompo!!!![]()
Wale matajiri wa kihaya kuna hizi kitu zenyuuuna hizi![]()
![]()
Mjeda mwenyewe amekuja nah ii kitu spesheliMziziMkavu atupe analysis ya alkool content ya hii makitu Real Scorpion vodka
Wageni waalikwa , naamini KakaKiiza Mentor Kipaji Halisi Teamo watakuwepo! mtanange wa wale walimbwende na vijivazi hakika muumba amefanya kazi yake jamani watoto mashaallaaaaah! Watakuwepo!!!
Kaizer (uje banaa ntakulipia Flightlink kwani dola ngapi?!?!) Asprin (please niletee Msangi wangu) Vin Diesel na wakezo Mamndenyi KOKUTONA sijui na nani tena..... sosoliso saudari Ruttashobolwa Jiwe Linaloishi Fidel80 Boflo Bishanga tajiri la roho na mwili (hhahahahaa - bia yako unainywea kwenye square tin) Bujibuji Chachu Ombara. Madame B atakuwepo this time ataambatana na shemeji zetu Ben Saanane, Chili Chimbuvu, kiplagati26 na CHAI CHUNGU usmuache NTIBA. watu8 na famile yako bila kumsahau Baba V!Lol! Superman uje utoe dose tafadhali!!!
amu na kipenzy chako Nivea SWEADY, kingasti yani usipokuja kwa bamkubwaako ntakusutaje! cacico gfsonwin dompo inawahusu nyie!!! FirstLady mwaJ, @ zion daughter, snowhite Swts Mjeda ataka kuwa pempered na maladies wa ukweheeee .huenda akaacha posho yake yooote aliyolipwa kujikimu huko Darfur (shauri zenyuuuu) lara 1 Asnam marejesho et al nimeshaweka strawberry lips ..this time ntahakikisha mtu haibebi!!! mzabzab AshaDii Judgement
na wengine woooooooooooote wenye mapenzi mema kwa JFCC NA MJEDA!!! (Heee!!! na kwangu pia nani asotaka mapenzi mema)
KARIBUNI SANAAAAAAAAAAAA TAREHE 22 MARCH PALE LEO TUPO HAPA PUB!!!!!!
( this time nina boooonge ya surprise kwa mkaka wa ukwehe nitakayemnaniliu siku hiyoooo stay tuned!!!)
mmxwaaahhh............![]()
may i know why?
mabinti wabaya hawa, yaani wameniwekea ulinzi shirkishi nisitongoze vibinti vya hapa Mwanza.... Eti wametumwa na King'asti na Asnam.... Sina hamu nao charminglady na mwenzake Elizabeth Dominic
Zion Daughter na Arabela huyu ndugu anavibrate, anapata bodyquake akiwa karibu yenu!Ninawagwaya........nikiwaona natetemeka......
mamito si nimeuliza unataka juice ya boxi au fresh?
Zion Daughter atakuwepo? Kama atakuwepo mi siji.........na Arabela.
Mambo saafi tuu! Ina maana Mtambuzi aliachiwa?
Zion Daughter na Arabela huyu ndugu anavibrate, anapata bodyquake akiwa karibu yenu!
mna nini nyie? kunani kati yenu?