Karibu katika birthday partyyyy ya MJEDA wa Leo-Tupo-Hapa Pub!!!!!!!

Karibu katika birthday partyyyy ya MJEDA wa Leo-Tupo-Hapa Pub!!!!!!!

Hahahaha Bujibuji kumbe umedata? mimi nilidhani trip ya malawi imekuponya!! Ndio maana ulikimbiwa na nanihino kama huu ndio ujanja wako wa kutongoza.:smile-big::smile-big::smile-big:
Mwita Maranya naona umeniendea Bagamoyo kunichafulia nyota yangu. Nivea ntakuandikia barua mama wala usijali.
 
Last edited by a moderator:
Paloma naomba vigezo na masharti ya kwenda kwa mjeda.

Afu nihakikishie uwepo wako wewe, wewe uwe nami tu, nami niwe nawe tu, tuwe kitu hiki . . . . 1 basi. Wenye wivu wajizibue vibao.
 
Last edited by a moderator:
Paloma naomba vigezo na masharti ya kwenda kwa mjeda.

Afu nihakikishie uwepo wako wewe, wewe uwe nami tu, nami niwe nawe tu, tuwe kitu hiki . . . . 1 basi. Wenye wivu wajizibue vibao.

Eti,kuna msamaria anayeweza kusema hii makitu ilikuwa lini hadi nikapitwa? Happu birthday.mjeda. uzuri hata Asprin naye chali hakijaharibika kitu.
Paloma hebu nipm
 
Last edited by a moderator:
Wadau wa JF CC, mwaonaje hali!?!?!?!😛eace:
Kwa mara nyingine tena , katika jitihada za kuondoa makunyanzi usoni na moyoni…..famile ya CC inapenda kuwafahamisha kuwa bro wetu, rafiki, baba, bamdogo, bamkubwa wetu, babu yetu, mpenzi wetu MJEDA wa LEO TUPO HAPA Pub anatarajia kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa mnamo tarehe 22 March 2013

.:clock: Hakika amekula chumvi si haba!!!! Hivyo basi kama kaiwaida yetu majira ya kuanzia saa kumi na mbili jioni tukutane ndani ya leo tupo hapa kwa ajili ya surprise party kwa mpendwa wetu MJEDA kabla hajaenda DARFUR kulinda Amani kwa mtutu!!! (makubwaaa!!!!!)
Kma kawaida mzee Mtambuzi (mhh pole yako ya kushikwa ugoni na utakuja kueleza vizuri ilikuwaje maana…..!?!?!) ameshaandaa maulabu na viburudisho vya kumwaga!!! govinder kumar
Contesa
Image
heheheheeeee ……………. …… na Dompo!!!

Wale matajiri wa kihaya kuna hizi kitu zenyuuu
2012-08-22-Heineken_Cube1_0.jpeg
na hizi
Safari.jpg

Mjeda mwenyewe amekuja nah ii kitu spesheli MziziMkavu atupe analysis ya alkool content ya hii makitu Real Scorpion vodka………
Wageni waalikwa , naamini KakaKiiza Mentor Kipaji Halisi Teamo watakuwepo! mtanange wa wale walimbwende na vijivazi…hakika muumba amefanya kazi yake jamani…watoto mashaallaaaaah! Watakuwepo!!!
@Kaizer (uje banaa ntakulipia Flightlink kwani dola ngapi?!?!) Asprin (please niletee Msangi wangu) Vin Diesel na wakezo Mamndenyi KOKUTONA sijui na nani tena..... sosoliso saudari Ruttashobolwa Jiwe Linaloishi Fidel80 Boflo Bishanga –tajiri la roho na mwili (hhahahahaa - bia yako unainywea kwenye square bottle) Bujibuji Chachu Ombara. Madame B atakuwepo this time ataambatana na shemeji zetu Ben Saanane, Chili Chimbuvu, kiplagati26 na CHAI CHUNGU usimuache NTIBA. watu8 na famile yako bila kumsahau Baba V!Lol! Superman…uje utoe dose tafadhali!!!
[COLOR=#000000 [B]amu[/B] na kipenzy chako Nivea sweetlady, KING'asti – yani usipokuja kwa bamkubwaako ntakusutaje! cacico gfsonwin dompo inawahusu nyie!!! FirstLady FirstLady1 mwaJ, Zion Daughter, snowhite Swts Mjeda ataka kuwa –pempered na maladies wa ukwe'heeee….huenda akaacha posho yake yooote aliyolipwa kujikimu huko Darfur (shauri zenyuuuu) lara 1 Asnam marejesho et al nimeshaweka strawberry lips…..this time ntahakikisha mtu haibebi!!! mzabzab AshaDii Judgement [/COLOR]
na wengine woooooooooooote wenye mapenzi mema kwa JFCC NA MJEDA!!! (Heee!!! na kwangu pia nani asotaka mapenzi mema)


Kutakuwa na sharbati za aina mbalimbali - detoxifying and cleansing juices etc


KARIBUNI SANAAAAAAAAAAAA TAREHE 22 MARCH PALE LEO TUPO HAPA PUB!!!!!!

( this time nina boooonge ya surprise kwa mkaka wa ukwe'he nitakayemnaniliu siku hiyoooo……………… stay tuned!!!)
mmxwaaahhh............
I wont come without amu!!Please mantion it!:yo:
 
Mwe..! mi hizo mapombe tu, umefanya la maana kutu brief kwa taarifa ya infomesheni mapema..., kila nikiangalia hizo lips hapo juu natamani ku foward siku zifike haraka...
 
Jamani mbona sisi walokole vinywaji vyetu sivioni?
'
Halafu Paloma usitie shaka kile kibibi nakiacha nije tule bata,nitamuomba Mtambuzi lifti nije fasta!
 
Last edited by a moderator:
Paloma na mimi ni mdau bana,
tutafutane dada, Vin Diesel katoka wapi tena jamani,
dah hivi bado unakumbuka ya kale.


sema neno moja tu..............nakutumia choper unatua hapo hapo eneo la tukio......
huyo mumengwa sijui kafungiwa wapi mie sin ahata habari zake......ya kale yameshakauka wala sijui hata yananukaje! kwanza yameshapeperushwa!
 
Jamani mbona sisi walokole vinywaji vyetu sivioni?
'
Halafu Paloma usitie shaka kile kibibi nakiacha nije tule bata,nitamuomba Mtambuzi lifti nije fasta!


umeokoka lini? hirizi aliyokuvika Kaunga umeivua? na zile chale? mhhhhhh
Hayajamani please njoo nisaidie na huyu mlokole wa kisukuma!
 
Last edited by a moderator:
Paloma naomba vigezo na masharti ya kwenda kwa mjeda.

Afu nihakikishie uwepo wako wewe, wewe uwe nami tu, nami niwe nawe tu, tuwe kitu hiki . . . . 1 basi. Wenye wivu wajizibue vibao.


vigezo ni wewe na wallet yako tu! na full appetite!!!
 
Back
Top Bottom