KARIBU KINGLION
Member
- Jun 28, 2025
- 58
- 52
KUANZISHA UZI WAKO UMEONA HAIWEZEKANI, AU NDIO USHINDANI?Wale wanaohitaji mabati meupe kwajili ya kuuza mikoani na maduka ya jumla futi 10 yani 3meters unapata kwa 300,000 mabati 20 yani bati moja ni 15,000 nicheck 0715715385 wastup/Call
Naomba picha za coilKUANZISHA UZI WAKO UMEONA HAIWEZEKANI, AU NDIO USHINDANI?
POA BOSS.Naomba picha za coil
Naomba picha za coil
G ngapi 30,28 au 26View attachment 3440931
MIGONGO MIPANA, MSOUTH
SHILINGI 21500/= BATI MOJA (MITA 3/FUTI 10)
SIMU: 0781371829
KARIBU KINGLION KIBAHA UJIPATIE MABATI BORA KABISA
GAUGE 30 MKUU!G ngapi 30,28 au 26
Haya hapa geji 30 ni bei gani? Pia naomba unambie kiwanda chenu kipo sehemu gani.
20000/=Haya hapa geji 30 ni bei gani? Pia naomba unambie kiwanda chenu kipo sehemu gani.