Karibu KingLion: Mabati na coil bora kwa bei nafuu, njoo tukuhudumie

Karibu KingLion: Mabati na coil bora kwa bei nafuu, njoo tukuhudumie

Bati za migongo midogo yan kawaida siyo msouth ila zenye rangi mnauzaje kwa bei ya kiwandani na je bando moja bati zinakuwa bati ngap na bei inakuwaje na mnaanzia kuuza bando ngap
 
Nikinadi nini kinapungua mzee wangu?
Au kuna namna ninaathiri maslahi yako nikinadi biashara za kampuni hapa jukwaani?
naomba mawasiliano ya wauzaji wa mabati ya kinglion mwanza maana najua mna tawi na mimi nipo mwanza
 
Shida maswali hajibu akipigwa nyundo kama hizo ndio anajitokeza
una nadi kampuni lililo enea Africa nzima alafu mwisho wa mwezi unalipwa laki moja hiyo ni akili ama matope? akiambiwa ukweli anaona soo.
 
Bati za migongo midogo yan kawaida siyo msouth ila zenye rangi mnauzaje kwa bei ya kiwandani na je bando moja bati zinakuwa bati ngap na bei inakuwaje na mnaanzia kuuza bando ngap
PXL_20260425_084430236.jpg


Bei hizo hapo kiongozi, bando moja ya bati nyeupe inakuwa na bati 20, bando ya bati za rangi inakuwa na bati 16.
Ukinunua bando bei haibadiliki, unazidisha tu idadi ya bati kwa bei ya bati husika.
Tunaanza kuuza kuanzia bati 10 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom