yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,927
- 4,199
Ngoja nichunguze ubora wake. Nikirizika utanipata20000/=
TUPO ZEGERENI INDUSTRIAL AREA, KIBAHA-PWANI.
KARIBU SANA.
Ngoja nichunguze ubora wake. Nikirizika utanipata20000/=
TUPO ZEGERENI INDUSTRIAL AREA, KIBAHA-PWANI.
KARIBU SANA.
Coil moja ni bei gani mkuu,na zinatoa bati ngp
Hizo coil mkinunua zinafanya kazi gani?Coil moja ni bei gani mkuu,na zinatoa bati ngp
Samahani kwa kuchelewa kukujibu kiongozi, coil zetu tunaanza kuuza kuanzia tani 3.Coil moja ni bei gani mkuu
na zinatoa bati ngp
Coil zinatumika kutengeneza bati mkuu.Hizo coil mkinunua zinafanya kazi gani?
Asante mkuu, maelezo yamenyooka.Coil zinatumika kutengeneza bati mkuu.
KABLA HAUJANUNUA COIL KUTOKA KWETU KWA LENGO LA KUTENGENEZA MABATI, UNATAKIWA KUWA NA MASHINE KAMA HII.
View attachment 3533390
HII MASHINE NDIO INATUMIKA KUTENGENEZA MIGONGO YA MABATI NA KUFYATUA BATI.
Coil inakuwa hivi.
View attachment 3533391
Karibu boss!!!
📱 0718 224 995
Karibuni KINGLION INVESTMENT COMPANY LIMITED, njoo ujipatie mabati bora kwa gharama nafuu kabisa, mabati aina zote yanapatikana.
Pia tunatengeneza coil za mabati, karibu ujipatie coil za aina zote, coil za mabati yenye rangi na coil za mabati ya kawaida (Zinc coated).
Usipate shida kuagiza coil nje ya nchi, KINGLION tunatengeneza coil.
View: https://youtu.be/LHlUYdHA5rc?si=aTJY83WTtFH17Koo
View attachment 3389306
MAWASILIANO: 0781371829
KARIBU KINGLION KIBAHA TUKUHUDUMIE
Karibu sana mkuu.Nilitembelea kiwanda chenu cha Kibaha. Aisee wazee mmewekeza. Hongereni sana kwa kweli
Nani atarudi kiongozi?Atarudi
Nikinadi nini kinapungua mzee wangu?Jamaa unatumia nguvu kubwa sana kunadi biashara ambayo tayari inabrand kimataifa kupitia KINGLION pikipiki, na mawakala wa mabati ya kinglion wanapatikana nchi nzima. mleta mada tulia kiwandani kwenu biashara ijiendeshe.