Karibu KingLion: Mabati na coil bora kwa bei nafuu, njoo tukuhudumie

Coil moja ni bei gani mkuu
Samahani kwa kuchelewa kukujibu kiongozi, coil zetu tunaanza kuuza kuanzia tani 3.
Coil zinatofautiana ubora(thickness). Hivyo bei zinatofautiana.

COIL ZA RANGI BEI INAANZIA 3583000/= MPAKA 4044000 KWA KILA TANI MOJA.

COIL ZISIZO NA RANGI (PLAIN) BEI INAANZIA 3225000/= MPAKA 3647000/= KWA KILA TANI MOJA.

na zinatoa bati ngp


Hiyo ni COIL ya rangi yenye tani 3, ina urefu wa mita 1611. Kama utatengeneza bati zenye urefu wa mita 3 utaweza kupata bati 537.

KARIBU BOSS!
 
Hizo coil mkinunua zinafanya kazi gani?
Coil zinatumika kutengeneza bati mkuu.

KABLA HAUJANUNUA COIL KUTOKA KWETU KWA LENGO LA KUTENGENEZA MABATI, UNATAKIWA KUWA NA MASHINE KAMA HII.

HII MASHINE NDIO INATUMIKA KUTENGENEZA MIGONGO YA MABATI NA KUFYATUA BATI.

Coil inakuwa hivi.



Karibu boss!!!
📱 0718 224 995
 
Nilitembelea kiwanda chenu cha Kibaha. Aisee wazee mmewekeza. Hongereni sana kwa kweli
 
Bati za migongo midogo yan kawaida siyo msouth ila zenye rangi mnauzaje kwa bei ya kiwandani na je bando moja bati zinakuwa bati ngap na bei inakuwaje na mnaanzia kuuza bando ngap
 
Na ukinunua bati vp na kofia zake unapataje
 
Jamaa unatumia nguvu kubwa sana kunadi biashara ambayo tayari inabrand kimataifa kupitia KINGLION pikipiki, na mawakala wa mabati ya kinglion wanapatikana nchi nzima. mleta mada tulia kiwandani kwenu biashara ijiendeshe.
 
Jamaa unatumia nguvu kubwa sana kunadi biashara ambayo tayari inabrand kimataifa kupitia KINGLION pikipiki, na mawakala wa mabati ya kinglion wanapatikana nchi nzima. mleta mada tulia kiwandani kwenu biashara ijiendeshe.
Nikinadi nini kinapungua mzee wangu?
Au kuna namna ninaathiri maslahi yako nikinadi biashara za kampuni hapa jukwaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…