mbona watu kama facebook mnaitenga au mnaogopa mtaambiwa una utoto ..
Mimi za kwangu
1.jamii forum (hii ya kwanza sababu ndio sehemu ninayo tembelea sana kwa siku)
2.youtube .huku wanakula sana bando langu
3.whatspp.
4.facebook (lakini nikiingia huku nina sehemu zangu kama NNE tu nikimaliza kupitia nduki, profile picha tangu nijiunge sijawah kubadilisha ,Mara ya mwisho kupost sikumbuki lini , mvivu kulike na kukoment picha za watu .... Lakini natembeleaga Mara nyingi sana
5. Wikipedia napenda kugugo sana yaani nikiona kamsemo kadogo nakimbilia Wikipedia nikielewe kwa undani