karibu ku-share top 5 ya mitandao yako ya kijamii

karibu ku-share top 5 ya mitandao yako ya kijamii

mbona watu kama facebook mnaitenga au mnaogopa mtaambiwa una utoto ..

Mimi za kwangu
1.jamii forum (hii ya kwanza sababu ndio sehemu ninayo tembelea sana kwa siku)

2.youtube .huku wanakula sana bando langu

3.whatspp.

4.facebook (lakini nikiingia huku nina sehemu zangu kama NNE tu nikimaliza kupitia nduki, profile picha tangu nijiunge sijawah kubadilisha ,Mara ya mwisho kupost sikumbuki lini , mvivu kulike na kukoment picha za watu .... Lakini natembeleaga Mara nyingi sana

5. Wikipedia napenda kugugo sana yaani nikiona kamsemo kadogo nakimbilia Wikipedia nikielewe kwa undani
hongera mkuu
 
Jamiiforum

Jamiiforum

Jamiiforum

Jamiiforum

Xxx videos..[emoji28]

Najua hii ya mwisho wengi hawataisema lkn nimeamua kujitungua tu! Ila ukweli wengi wao ni wahanga...[emoji23]
Mkuu umejuaje[emoji16][emoji16][emoji16] salute kwako
 
Jamiiforum

Jamiiforum

Jamiiforum

Jamiiforum

Xxx videos..[emoji28]

Najua hii ya mwisho wengi hawataisema lkn nimeamua kujitungua tu! Ila ukweli wengi wao ni wahanga...[emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
natumai hamjambo wakuu,

karibuni hapa ku-share top 5 ya mitandao yenu pendwa ya kijamii, binafsi listi yangu ipo hivi:

1.Jamii forums

2.Jamii forums

3.Jamii forums

4.Quora

5.Mocospace

1. CCM.COM
2. CHADEMA.COM
3. JAMIIFORUMS.COM
4 .SHILAWADU.COM
5. SIMBASPORTS,COM
 
Back
Top Bottom