Karibu kwa Ufahamu na Ushauri kuhusu Ramani na Ujenzi...kisha tufanye kazi🤝

Rjx

Member
Joined
Oct 20, 2024
Posts
5
Reaction score
11
Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi.
  1. Hakikisha unakiwanja ambacho kimepimwa na kinatambulika na manispaa ya mji...kuepuka migogoro.
  2. Katika kiwanja unachotaka kuanza ujenzi Hakikisha unatambua upitaji wa barabara(access roads) na mpango mji , kwa mfn kuna maeneo ambayo ni maalum kwa ajiri ya ujenzi wa majengo ya makazi, majengo ya viwanda, majengo ya kibiashara, ya ki-serikali n.k.
  3. Kabla ya kuanza ujenzi Hakikisha unakuwa na Ramani za ujenzi ikiwezekana pamoja na Gharama zake...Na hakikisha zinapita manispaa ya mji kwa ajiri ya uhakiki na usalama wako wa ujenzi.....Epuka ujenzi wa Ki-mazoea tafuta mtaalam wa ujenzi.
  4. Kabla ya kuanza kuchimba mashimo kwa ajiri msingi ni lazima kuacha mita moja nusu 1.5 mita kutoka kwenye bikon ya kiwanja chako kwa kona zote.
Rejea mfano wa Ramani.
 

Attachments

  • h-03_122408.png
    152.4 KB · Views: 8
  • plan_111444.png
    125 KB · Views: 9
  • XRecorder_Edited_22112024_122002.mp4
    18.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…