Karibu kwenye saluni ya jf

watu8 haya bana pole kaka nasubiria jibu lako na Lisa

Ha ha ha!!

Mkuu kwa kawaida weusi uonekanao sehemu za siri au makwapani si jambo geni kwa watu wa jinsia zote...

Si haba kwa mtu ambaye ana ngozi angavu mwili mzima lakini zile sehemu vungu zikawa na kigiza cha usoni...

Sababu kadha wa kadha ipelekeayo hali hii huweza kuwa ni;

*Sababu za Kijenetiki (Uhaba wa pigments za rangi kwenye sehemu vungu)

*Magonjwa ya ngozi yaletwayo na fangasi(Sehemu vungu mara nyingi huwa ni nyevu na mazingira nyevu ni moja ya makazi mazuri sana ya fangasi).

*Msuguano uletwao na mikunjo ya ngozi pamoja na mavazi sitiri. Kumbuka sehemu vungu zote huwa ni maungio ya mifupa na huwa na msuguano mara zote.

*Ule weusi wakati mwingine husababishwa na mlundikano wa seli mfu za ngozi ambazo hujilundika kama tabaka jeusi(discoloration).

*Utokwaji wa jasho ambalo ndani yake huwa na tindikali ya yuriki. Tindikali hii inapoachwa muda mrefu pasipo kusafishwa hupelekea weusi wa ngozi.
 
you mean pubic hair? Dah mwenyekiti ni wewe au ngoja niangalie vizuri kama kweli ni wewe.

Baba V ashaanza kupigia kampeni unyoaji wa Pubic hair!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…