Karibu kwenye saluni ya jf

Kinyozi na Mnyolewa, njooni mtufunulie ni nani mwenye kusikia raha?
Mnyolewa ati ndiye anayeona raha,we humuoni jinsi anavyotulia wakati akinyolewa? basi pale huwa anaona RAHAAAA.Hasa mnyolewaji akiwa wa jinsia ya kike ndio huwa nampa raha sana.
Nalog off
 
Hahahahaha sio kweli si kunakua na wateja wengine lakini.
mimi huwa nawaachaga peke yenu ila nikirudi ndio huwa nawakuta wateja wanasubiri kunyolewa na kusukwa.
Nalog off
 
Washawasha huyo dada alieshika bomba jeusi na gauni la mistari mistari dah hiyo nguo ni kiboko, yani mbele tu anaonekana hivyo, sipat picha akigeuka. Mambo ya Mozambique hayo nini mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…