Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
- #21
Mnyolewa ati ndiye anayeona raha,we humuoni jinsi anavyotulia wakati akinyolewa? basi pale huwa anaona RAHAAAA.Hasa mnyolewaji akiwa wa jinsia ya kike ndio huwa nampa raha sana.Kinyozi na Mnyolewa, njooni mtufunulie ni nani mwenye kusikia raha?
Nalog off