Heaven on earth mi nitamnyoa wala asijali,vp we unasuka kwani?Excellent kuna mtu anataka umnyoe huku
Sh'ikamoo daddy ake mimi!
Ndo manake watu8 unakuwa mweupe kama rangi ya mwili bana kwa nini Uwe tofauti na viungo vingine
hahaaaaaaaaaa Washawasha mtake radhi shoga angu fastaaaaaa
Kumbe na nyinyi huwa mnajiuliza hilo swali? nilidhani mimi pekee, maana unakuta mtu mweupe lakini kasoro kiungo hicho tu kinakuwa cheusi, je unaweza nifafanulia kwa nn huwa kinakuwa hivyo?
Heaven on earth mi nitamnyoa wala asijali,vp we unasuka kwani?
shosti yaani nimecheka hadi machozi. etii mie dume la mbegu. na mume wangu Kaizer atakuwa nani? btw naomba uniulizie kwa Washawasha kusuka sangita bei gani?
bora saluni ya kike umbea unaruhusiwa
maana nilivyo mmbea,kila siku mi na saluni
ili ninyake yaliyojiri duniani!!
kuvutwa nywele
wakati wa kusukwa
Karubuni sana Washawasha umesahau kuandika ilani kuwa umbea hatutaki saloon kwetu
Washawasha huyo dada alieshika bomba jeusi na gauni la mistari mistari dah hiyo nguo ni kiboko, yani mbele tu anaonekana hivyo, sipat picha akigeuka. Mambo ya Mozambique hayo nini mkuu?
Asante sana mkuu wangu Judgment
Salam za Mamndenyi nazipokea kwa mikono miwili na mwambie nimemmiss sana kama rafiki wa zamani
Umenionea wapi KOKUTONA na binamu zangu Paloma Passion Lady Blaki Womani, Chocs na Madame B na Zion Daughter na Lady doctor na ladyfurahia