Karibu kwenye saluni ya jf

Karibu kwenye saluni ya jf

Mimi nipo upande wa vyumba vya kupumzika wateja wakisubiri kuwekewa steamer!Saloon ya kike!:A S 39:here waiting!!
 
Ndo manake watu8 unakuwa mweupe kama rangi ya mwili bana kwa nini Uwe tofauti na viungo vingine

Kumbe na nyinyi huwa mnajiuliza hilo swali? nilidhani mimi pekee, maana unakuta mtu mweupe lakini kasoro kiungo hicho tu kinakuwa cheusi, je unaweza nifafanulia kwa nn huwa kinakuwa hivyo?
 
bora saluni ya kike umbea unaruhusiwa
maana nilivyo mmbea,kila siku mi na saluni
ili ninyake yaliyojiri duniani!!
 
Kumbe na nyinyi huwa mnajiuliza hilo swali? nilidhani mimi pekee, maana unakuta mtu mweupe lakini kasoro kiungo hicho tu kinakuwa cheusi, je unaweza nifafanulia kwa nn huwa kinakuwa hivyo?

He he he...

Acha basi maswali ya kichokozi kabla na sisi hatujakuchokoza....hivi cha kwenu huwa kinakuwa cheupe pia hahah???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom