Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
-
- #161
Hapana kaka Jerrymsigwa,huyo ni farkhina akiwa kazini hapo.ngoja Excellent arudi na remote(maana masaa yote anatembea nayo mfukoni kama simu vile) tuweke muziki umuone akicheza aisee huyu bibie kaumbika.Washawasha huyo dada alieshika bomba jeusi na gauni la mistari mistari dah hiyo nguo ni kiboko, yani mbele tu anaonekana hivyo, sipat picha akigeuka. Mambo ya Mozambique hayo nini mkuu?
huduma zote zinapatikana bei ni maelewano tu.Huduma za kwapa na kwingineko vipi naweza nyolewa?
haipandi wala haishuki hiyo ndio bei yetu.5200 au vipi Washawasha.
Yote hiyo ili wakupige hela tu,hahahahah.Kuna saluni zina mambo mjini hapa wee acha tu, eti wananyoa nywele za puani na masikioni
Hapa tunanyoa kila kitu kiongozi wetu.Hivi mmeshazindua ile huduma ya kunyoa "public hair" !??
hapa kinanyolewa kila kitu kinachofanana na nywele za kichwani hata kama zimejificha wapi.Nasikia wananyoa hadi nyusi
tutamnyoa kwa Tsh 7860/=Kumnyoa msela kama huyu ni shilingi ngapi?
Tunanyoa popote pale.Mnanyoa nywele za kichwani tuu au?
Maana nataka ninyoe vinyweleo vya miguuni maana nashindwa kuvaa sox za mpira a.k.a stockings
Msusi wetu farkhina,huwa anawavuta wale ambao kila saa wanaongea na simu,kwahiyo ukitulia utasukwa kwa utulivu kabisa,na mambo ya siasa hakuna kabisa kwenye saluni yetu labda uende saluni ya kina Ritz,halafu muziki hapa ndio nyumbani kwake utakutana na Dj Excellent utaondoka ukiwa umesuuzika roho yako kwa kweli na kama hutofurahia huduma basi unaruhusiwa kuondoka bila kulipa.nafikiria mtindo wa kusuka alafu nije
Ila,sitaki yafuatayo:
kuvutwa,
stori za siasa
mapinduzi
natumaini mnaviti vyenye sponji wateja tusiumie na muziki kwa mbaaliii
Mji mzima unajua ya kwamba @Farhkina ndio fundi wa ukweli kwahiyo karibu sana bi dada,fundi yupo.Mie nataka kusuka mtindo unaitwa .......utii wa roda........
je hapo salon kwenu nitapata fundi?
He! mashaka ya nini tena?Hii salon nina mashaka nayo!
Naomba unisamehe wakati naandika sikuiangalia vizuri picha yako,niwie radhi bi dada DEMBA.hahaa haa Washawasha nitake radhi bana mie mteja wa kusuka.
Kwani ladyfurahia siwezi kuja kukunyoa
Nakuja kunyolewa na Madame B na nikimaliza kunyolewa nakutafuta wewe nikunyoe au hutaki ladyfurahia
Ha ha ha...ni matatizo hayo binti yangu....mwili waota vinyweleo karibu kila mahala
mi huyo hatabure thitaki