Karibu kwenye saluni ya jf

Karibu kwenye saluni ya jf

Kumnyoa msela kama huyu ni shilingi ngapi?

hairy_hairy_man.jpg_1286408464.jpg
 
Mnanyoa nywele za kichwani tuu au?
Maana nataka ninyoe vinyweleo vya miguuni maana nashindwa kuvaa sox za mpira a.k.a stockings
 
nafikiria mtindo wa kusuka alafu nije

Ila,sitaki yafuatayo:
kuvutwa,
stori za siasa
mapinduzi
natumaini mnaviti vyenye sponji wateja tusiumie na muziki kwa mbaaliii
 
stevoh ziunguze na moto we kaote moto zitaisha zote Judgment heshima yako mkuu wangu mbona umeadimika kama mshahara
"Wananyoana" waache waendeleee "kunyoana"
 
Last edited by a moderator:
stevoh ziunguze na moto we kaote moto zitaisha zote Judgment heshima yako mkuu wangu mbona umeadimika kama mshahara
"Wananyoana" waache waendeleee "kunyoana"
Swaiba Mr Rocky mbona nipo sana jamvi !
Lon time no see yu!
Btw wewe ndo nakuona mahudhurio yako sio mazuri.
O/wise ni shwari tu.
 
Last edited by a moderator:
Swaiba Mr Rocky mbona nipo sana jamvi !
Lon time no see yu!
Btw wewe ndo nakuona mahudhurio yako sio mazuri.
O/wise ni shwari tu.

Aise mkuu Judgment niko sehem aise nategemea kupanda mtini ndo network ipatikane ndo maana naDIP tuu humu mkuu
Shwari sana mkuu wangu
 
Last edited by a moderator:
haloo halooo umenikosha we mwanaume!haya nitakufanyia scrub lkn kwa masharti!

hebu basi ainisha hayo masharti ili tuingie mkataba siye...hakikisha unayaaindika kwa 'Kidigo' ili huyu farkhina asipate kuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Mie nataka kusuka mtindo unaitwa .......utii wa roda........
je hapo salon kwenu nitapata fundi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom