Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Haya eti....mie mwenzio naumia mgongo kukusuka wewe hutulii lol
hata mi naumiaga kichwa atii unanivutaga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya eti....mie mwenzio naumia mgongo kukusuka wewe hutulii lol
jamii ya nyani, sokwe, ngedere, tumbili!
wii hakya ya nani usiku ulali aisee!
hujui kumbe,we si ulisema we hunyolewi kwa sasa una uparako na wewe ni kinyodhiiiiiii
hata mi naumiaga kichwa atii unanivutaga sana
ila siku ile ulinizidishia maujuzi ujue......weekend ndo hiyo mie ntakuja
Kabisa kama sufii!!
Asante sana my binamu Madame B huduma yako hiyo ndo yenyewe na nakuja rasmi weekend hii kwa ajili yake ladyfurahia nitakuwepo dear mbona umekuja kwa hasira hivyo watu8 hebu jibu swali la Lisa bana usijifanye hulioni

hapo kwenye red sijakuelewa binamu unasema unakuja kwajiili ya nani vile?
kuninyoa au?
lazima anogewe!Duh lazma ukimfanyia scrub alale hapo hapo lol
Asante sana mkuu wangu Judgment
Salam za Mamndenyi nazipokea kwa mikono miwili na mwambie nimemmiss sana kama rafiki wa zamani
Umenionea wapi KOKUTONA na binamu zangu Paloma Passion Lady Blaki Womani, Chocs na Madame B na Zion Daughter na Lady doctor na ladyfurahia
usikatae bi dada wasije wakanicheka bure!Hahahaha nakataa lets see.
Sawa bi dada Lady doctor,akimaliza huyu kunyolewa itakuwa zamu yako.Nimechoka kusukwa na farkhina ananivutaga sana nataka uninyoe Washawasha