Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Hizo nyaraka wanafoji siku hizi wewe, waambie hiyo ADA wakate huko huko kwenye mkopo wako kabla hawajakupatia. Sawa sawa?Wekeni kopi za TIN no. ,leseni ya biashara na kopi ya BRELA ndo tutawaamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nyaraka wanafoji siku hizi wewe, waambie hiyo ADA wakate huko huko kwenye mkopo wako kabla hawajakupatia. Sawa sawa?Wekeni kopi za TIN no. ,leseni ya biashara na kopi ya BRELA ndo tutawaamini
Kwahiyo kulikuwa na haja gani ya kuprint huo mfano wa cheque halafu kupiga nao picha utadhani ni mshindi wa tatu mzuka anapewa pesa yake ya ushindi?!Habari wakuu katika pitapita zangu humu jf nimekutana na huu uzi wa mkuu great kali binafsi nilikuwa na mawili au matatu ya kuzungumza juu ya hiyo kampuni japokuwa kila mmoja ana imani yake naomba nianze hivi mnamo tar 22/06/2018 nilikutana na tangazo la huyu jamaa na nambari zake za simu ni hizo hizo nikafanya nae mawasiliano nikihitaji mkopo wa tsh 4,000,000 nikamuuliza juu ya vigezo akinielezea finally shughuli ikaja kwenye kutuma pesa ya surveyor aje kukagua aisee kwa mambo ya mtandao yalivyo ilinichukulia takribani siku tatu kufikiria mwisho wa siku nikajitoa kimaso maso nikatuma pesa ya surveyor nikiamini kama nimehonga pesa yangu baada ya siku moja surveyor alifika ofisini kwangu na kukagua ilichukuwa siku moja kufika kwa sababu ofisi zao zipo mpanda baada ya surveyor kufika aliidhinisha mkopo wangu wa 4,000,000 kama picha inavyoonyesha hapo chini,sina la zaidi.
BARIKIWAView attachment 800855