Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

Wekeni kopi za TIN no. ,leseni ya biashara na kopi ya BRELA ndo tutawaamini
Hizo nyaraka wanafoji siku hizi wewe, waambie hiyo ADA wakate huko huko kwenye mkopo wako kabla hawajakupatia. Sawa sawa?
 
Wanasema ukiona fursa imekaa kiulaini jua wewe unaeshawishika ndio fursa mwenyewe ya kupuruswa pesa.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi wacha nijichange tu nitatoka kwa msaada wa MUNGU
 
Kwahiyo kulikuwa na haja gani ya kuprint huo mfano wa cheque halafu kupiga nao picha utadhani ni mshindi wa tatu mzuka anapewa pesa yake ya ushindi?!
 
Naomba mkopo wa 750,000/- kwa ajili ya mradi wa nguruwe na kuku,kurejesha ndani ya miezi 6 naomba grace period ya mwezi 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…