Karibu mgeni Tanzania Commercial Bank. Benki ya Biashara ya serikali

Point yangu ni kuwa may be all government transactions now itakuwa through this new bank. Manake NMB walibebwa sana na government transactions
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisha bank zote zitaletewa zengwe
refer biashara ya ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii itakuwa safi sana!
 
Bujibuji,
NBC waliiuza sasa wanaunda nyingine, akija Rais mwingine nae ataiuza
NBC haikuuzwa, ABSA hawakutoa hata senti moja kuinunua NBC. TZS 11 billion zilizoinunua NBC Ni NMB ambao walizitoa.
Miongoni mwa vitu vya kipumbavu alivyowahi kufanya Mr. Clean ni hili sakata na NBC na ABSA
 
Sijakuelewa inamaana NMB ilikuwepo kabla NBC haijauzwa?
Huwa nikiangalia majengo ya NBC maeneo mbalimbali ya nchi naumia sana
 
Kama ambavyo tunalazimishwa watumishi wa umma kuwa line za TTCL ndivyo tutakavyolazimishwa kuwa na account kwenye hili Benki la kifisadi, na tunalazimishwa mishahara yetu ipite huko
 
Kama ambavyo tunalazimishwa watumishi wa umma kuwa line za TTCL ndivyo tutakavyolazimishwa kuwa na account kwenye hili Benki la kifisadi, na tunalazimishwa mishahara yetu ipite huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…